Cheki mlivyo miboya ya mapenzi yaani mitext yote hiyo demu hajajibu hata moja [emoji23][emoji23]View attachment 2739194
Unafikiri me ni kiazi kama hao hata wanao nijua humu watabaki wanashangaa imekuaje nafany hvyo.hata picha yake hukuona sura yake nilifut comment yang ckua na nia mby yyte nili kusihi ufute post kbla hijaletwa humu.
Wewe una anzisha matusi its okay ngoja inyeshe tuone inapo vuja.
 
Hii ndo masiala kweli
 
Kwa nini ulienda kumpeperusha......? Dude sikutukani ila kwa nn mnakua wajinga hivi ....? Kilicho kufanya uanze kumuambia na kujikuta ww ni Chris's mauki kama namba sawa uliona kilicho kufanya uichukue na kusave ni nini....?

But the good news is demu anajielewa sana aliishia kuwapa shit tu na mademu hawapendi wanaume wambea wambea [emoji23][emoji23][emoji23] tena wewe ndio ulichukua maongezi ya humu na kumpelekea kila kitu ila demu alivyo jiridhisha ni ujinga akakupa dole la kati ukajipepee nalo huko mbele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na manzi nipo nae ndio kwanza tupo vizuri sana
 
Nipe ushahidi kama ni mimi nilichukua taarifa za humu nikapeleka kule its just warning tu kuwa futa ila sinaga hizo habar
Au nikupe namba zangu ndy ujue kuwa sio mimi au una guess tu kwamba ni mimi hebu ninyamaze kwanza.
 
Wewe unaongea na huyo jamaa kafanya upuuzi mwenyewe na anakuja kujifanya anapambana huku, atapata tabu saana. Ngoja sisi tukae hapa tutakuja kujua tuu bàadae. Wengi washa muignore.
 
Wewe unaongea na huyo jamaa kafanya upuuzi mwenyewe na anakuja kujifanya anapambana huku, atapata tabu saana. Ngoja sisi tukae hapa tutakuja kujua tuu bàadae. Wengi washa muignore.
Ngoja niitafute ignore option mapema
 
Mt hii
 
Wewe unaongea na huyo jamaa kafanya upuuzi mwenyewe na anakuja kujifanya anapambana huku, atapata tabu saana. Ngoja sisi tukae hapa tutakuja kujua tuu bàadae. Wengi washa muignore.
Wengi wameni ignore huku na wewe unaendelea kuona ninacho leta ...we ni mzima kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…