Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Kama kawaida nikiwa kwenye majukumu yangu Ya kawaida akatokea mrembo ambaye tumelibadilishanaga namba ni muda kidogo.

Hivyo ikabaki kila mtu kuangalia status za mwenzie pale inapo bidi. Kumbe manzi ni mfuatuliaji mzuri wa status zangu.

Kifupi mimi ni mtu ninae penda adventures yaani mitoko ya aina hiyo na kufanya camping na wadau wangu watatu. Tulichagua maisha haya. Na usafiri tunao penda kuutumia ni pikipiki. Hii inasaidia kufanikisha na kufika kirahisi sehemu za kutalii pia inapunguza gharama sana.

Basi tukienda huko ni lazima tuwe na pisi, vinywaji, vyakula hasa vya kuchoma kama nyama na ndizi ndio sana na jiko letu na mkaa.

Basi mrembo baada ya kuona napost sana hivyo vitu akavutiwa na amekuja ameomba twende wote nikamuuliza utaweza kukaa kwenye pikipiki akadai ni mchezo mdogo na anapenda bike...so you are a biker ....yes ofcourse. ..so lini ratiba zako zinakuachia huru nikajibiwa ...mostly weekends am always free ....okay let's arrange this coming weekend.......really...? Huamini ...? No am just excited.

Nimesha mpanga mavazi yatakayo mfanya awe fresh kwenye pikipiki viatu , koti la kuzuia upepo kuingi ndani na kutunza joto lake, helmet zipo .

Kesho wadau wangu nawa suprise na kifaa kipya ambacho hawajawahi niona nacho.

Mtoto hataki kuniachia kila muda anataka updates za hiyo adventure yupo so excited...ninge wapa screenshots za convo ila tatizo hamna akili [emoji16][emoji16]

Ngoja tu niwaibie siri "Mtoto amefanana na ant Ezekiel [emoji39][emoji39][emoji39][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
 
Andaa vaseline dogo ukitoka huko kuna jeshi linakusubiri likushughulikie, tena mwambie huyo dem akufundishe zile style huko

Pumbafu kabisa zero brain wewe
 
Kama kawaida nikiwa kwenye majukumu yangu Ya kawaida akatokea mrembo ambaye tumelibadilishanaga namba ni muda kidogo.

Hivyo ikabaki kila mtu kuangalia status za mwenzie pale inapo bidi. Kumbe manzi ni mfuatuliaji mzuri wa status zangu.

Kifupi mimi ni mtu ninae penda adventures yaani mitoko ya aina hiyo na kufanya camping na wadau wangu watatu. Tulichagua maisha haya. Na usafiri tunao penda kuutumia ni pikipiki. Hii inasaidia kufanikisha na kufika kirahisi sehemu za kutalii pia inapunguza gharama sana.

Basi tukienda huko ni lazima tuwe na pisi, vinywaji, vyakula hasa vya kuchoma kama nyama na ndizi ndio sana na jiko letu na mkaa.

Basi mrembo baada ya kuona napost sana hivyo vitu akavutiwa na amekuja ameomba twende wote nikamuuliza utaweza kukaa kwenye pikipiki akadai ni mchezo mdogo na anapenda bike...so you are a biker ....yes ofcourse. ..so lini ratiba zako zinakuachia huru nikajibiwa ...mostly weekends am always free ....okay let's arrange this coming weekend.......really...? Huamini ...? No am just excited.

Nimesha mpanga mavazi yatakayo mfanya awe fresh kwenye pikipiki viatu , koti la kuzuia upepo kuingi ndani na kutunza joto lake, helmet zipo .

Kesho wadau wangu nawa suprise na kifaa kipya ambacho hawajawahi niona nacho.

Mtoto hataki kuniachia kila muda anataka updates za hiyo adventure yupo so excited...ninge wapa screenshots za convo ila tatizo hamna akili [emoji16][emoji16]

Ngoja tu niwaibie siri "Mtoto amefanana na ant Ezekiel [emoji39][emoji39][emoji39][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
Wewe ni bonge la mwamba.Bravos nyingi kwako.Lakini,mimi huwa sipendi kujisifu ninapokula "mkate wa marehemu"!Ukitafutacho unaenda kukipata si muda.
 
Kama mwanaume siwezi umizwa na mwanamke anayechepuka zaidi nitashukuru kwakua nimeondolewa kijibu uchungu mwilini. mwanamke anayejielewa hawezi kukaribisha mwanaume mwingine while ana mahusiano mengine. Usidhani unamkomoa bro mwenye V8 mnaenda kubadilishana UTI tu na atakuja kuvutiwa na mimi nnae camp na Londo langu la 85.

That is normal life bro I found no reason brag on
 
Kama kawaida nikiwa kwenye majukumu yangu Ya kawaida akatokea mrembo ambaye tumelibadilishanaga namba ni muda kidogo.

Hivyo ikabaki kila mtu kuangalia status za mwenzie pale inapo bidi. Kumbe manzi ni mfuatuliaji mzuri wa status zangu.

Kifupi mimi ni mtu ninae penda adventures yaani mitoko ya aina hiyo na kufanya camping na wadau wangu watatu. Tulichagua maisha haya. Na usafiri tunao penda kuutumia ni pikipiki. Hii inasaidia kufanikisha na kufika kirahisi sehemu za kutalii pia inapunguza gharama sana.

Basi tukienda huko ni lazima tuwe na pisi, vinywaji, vyakula hasa vya kuchoma kama nyama na ndizi ndio sana na jiko letu na mkaa.

Basi mrembo baada ya kuona napost sana hivyo vitu akavutiwa na amekuja ameomba twende wote nikamuuliza utaweza kukaa kwenye pikipiki akadai ni mchezo mdogo na anapenda bike...so you are a biker ....yes ofcourse. ..so lini ratiba zako zinakuachia huru nikajibiwa ...mostly weekends am always free ....okay let's arrange this coming weekend.......really...? Huamini ...? No am just excited.

Nimesha mpanga mavazi yatakayo mfanya awe fresh kwenye pikipiki viatu , koti la kuzuia upepo kuingi ndani na kutunza joto lake, helmet zipo .

Kesho wadau wangu nawa suprise na kifaa kipya ambacho hawajawahi niona nacho.

Mtoto hataki kuniachia kila muda anataka updates za hiyo adventure yupo so excited...ninge wapa screenshots za convo ila tatizo hamna akili [emoji16][emoji16]

Ngoja tu niwaibie siri "Mtoto amefanana na ant Ezekiel [emoji39][emoji39][emoji39][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
Mkuu,
Nakuonya
Usipende ku expose your move..hii Dunia ya technology imerahisisha sana mawasiliano....
Details zako zikitakiwa zinapatikana trust me.

Maana PESA hununua chochote mpaka moyo hata kura kwenye uchaguzi...

NB:
Kama mtu akiamua kukutafuta anakupata easy 😊☺️ then UNAUWAWA
ACHANA NA WAKE ZA WATU HATA WAKIKUPENDA WAO na kama ukishindwa fuata ushaur wa JAY MO & NGWEIR_KIMYA KIMYA japo sio vizuri

Nikutakie mapumziko mema ya mwisho wa week.
 
Screenshot_20230908-163905.png
Screenshot_20230908-163905.png
 
Back
Top Bottom