Imesha poa nowNilidhani timbwili lote hili ni sababu ya hiyo pisi ya kwenye Avatar, ningeshangaa sana asee. Anyway, kausha ili mambo mengine yaendelee.
Andaa vaseline dogo ukitoka huko kuna jeshi linakusubiri likushughulikie, tena mwambie huyo dem akufundishe zile style hukoKama kawaida nikiwa kwenye majukumu yangu Ya kawaida akatokea mrembo ambaye tumelibadilishanaga namba ni muda kidogo.
Hivyo ikabaki kila mtu kuangalia status za mwenzie pale inapo bidi. Kumbe manzi ni mfuatuliaji mzuri wa status zangu.
Kifupi mimi ni mtu ninae penda adventures yaani mitoko ya aina hiyo na kufanya camping na wadau wangu watatu. Tulichagua maisha haya. Na usafiri tunao penda kuutumia ni pikipiki. Hii inasaidia kufanikisha na kufika kirahisi sehemu za kutalii pia inapunguza gharama sana.
Basi tukienda huko ni lazima tuwe na pisi, vinywaji, vyakula hasa vya kuchoma kama nyama na ndizi ndio sana na jiko letu na mkaa.
Basi mrembo baada ya kuona napost sana hivyo vitu akavutiwa na amekuja ameomba twende wote nikamuuliza utaweza kukaa kwenye pikipiki akadai ni mchezo mdogo na anapenda bike...so you are a biker ....yes ofcourse. ..so lini ratiba zako zinakuachia huru nikajibiwa ...mostly weekends am always free ....okay let's arrange this coming weekend.......really...? Huamini ...? No am just excited.
Nimesha mpanga mavazi yatakayo mfanya awe fresh kwenye pikipiki viatu , koti la kuzuia upepo kuingi ndani na kutunza joto lake, helmet zipo .
Kesho wadau wangu nawa suprise na kifaa kipya ambacho hawajawahi niona nacho.
Mtoto hataki kuniachia kila muda anataka updates za hiyo adventure yupo so excited...ninge wapa screenshots za convo ila tatizo hamna akili [emoji16][emoji16]
Ngoja tu niwaibie siri "Mtoto amefanana na ant Ezekiel [emoji39][emoji39][emoji39][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
Wewe ni bonge la mwamba.Bravos nyingi kwako.Lakini,mimi huwa sipendi kujisifu ninapokula "mkate wa marehemu"!Ukitafutacho unaenda kukipata si muda.Kama kawaida nikiwa kwenye majukumu yangu Ya kawaida akatokea mrembo ambaye tumelibadilishanaga namba ni muda kidogo.
Hivyo ikabaki kila mtu kuangalia status za mwenzie pale inapo bidi. Kumbe manzi ni mfuatuliaji mzuri wa status zangu.
Kifupi mimi ni mtu ninae penda adventures yaani mitoko ya aina hiyo na kufanya camping na wadau wangu watatu. Tulichagua maisha haya. Na usafiri tunao penda kuutumia ni pikipiki. Hii inasaidia kufanikisha na kufika kirahisi sehemu za kutalii pia inapunguza gharama sana.
Basi tukienda huko ni lazima tuwe na pisi, vinywaji, vyakula hasa vya kuchoma kama nyama na ndizi ndio sana na jiko letu na mkaa.
Basi mrembo baada ya kuona napost sana hivyo vitu akavutiwa na amekuja ameomba twende wote nikamuuliza utaweza kukaa kwenye pikipiki akadai ni mchezo mdogo na anapenda bike...so you are a biker ....yes ofcourse. ..so lini ratiba zako zinakuachia huru nikajibiwa ...mostly weekends am always free ....okay let's arrange this coming weekend.......really...? Huamini ...? No am just excited.
Nimesha mpanga mavazi yatakayo mfanya awe fresh kwenye pikipiki viatu , koti la kuzuia upepo kuingi ndani na kutunza joto lake, helmet zipo .
Kesho wadau wangu nawa suprise na kifaa kipya ambacho hawajawahi niona nacho.
Mtoto hataki kuniachia kila muda anataka updates za hiyo adventure yupo so excited...ninge wapa screenshots za convo ila tatizo hamna akili [emoji16][emoji16]
Ngoja tu niwaibie siri "Mtoto amefanana na ant Ezekiel [emoji39][emoji39][emoji39][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
Mamdogo, kwani anawala wote? AU kwa sababu hajulikani ni yupi?kwahiyo wenye v8 wote kesho wawashikilie mademu zao 😃 😃
sasa si haijulikani 😃Mamdogo, kwani anawala wote? AU kwa sababu hajulikani ni yupi?
Kwani mamdogo, bamdogo si ana V8? Kwahiyo nawe kesho unashikiliwa?sasa si haijulikani 😃
bamdogo gani bwana weKwani mamdogo, bamdogo si ana V8? Kwahiyo nawe kesho unashikiliwa?
Kheeeeeeee...!! Huumiii??bamdogo gani bwana we
😃😃me niko single
na kwanini niumieKheeeeeeee...!! Huumiii??
Mkuu,Kama kawaida nikiwa kwenye majukumu yangu Ya kawaida akatokea mrembo ambaye tumelibadilishanaga namba ni muda kidogo.