Mwambie unaenda kwenye Vicoba ,

Kwa hali hii bandari apewe mwarabu
 
Usisahau vilainishi.
 
Lipia tangazo mbwa kabisa,kangaroo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kama mwanaume lazima uwe na mipaka ambayo huwezi kuvuka.
Hujiheshimu na hata mke wako hajiheshimu.
Kwann unaona kawaida mke wako aseme mambo mnayofanyaga chumbani, hayo mambo ni siri yenu nyie wawili.
Na ww mi mnafiki, tena mtu mbaya sana, Unalala na mke wa rafiki ako?
HUJUI THAMANI YA URAFIKI WEWE.
 
Ukienda ndio umeenda.
 
Mwanaume Haswa kuna Vitu si vya kufanya au hata ukifanya wala si vya kuzungumza Iwe laivu au kuvieksipozi kwenye mitandao,,,Wewe bado mvulana Dogoo,, UNA KITU UTAFIKA MBALI!!
 
Nasema je,

"Mla cha mwenzie,
Na chake huliwa"
 
Mbona mkeo analiwa ,mara kibao.
 
Wanawake wanavutiwa na vya kusikia zaidi. Na mwanaume malaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…