Duh, mabwaku!
 
ngoja nitoa yangu,
kuna manzi nilikuwa nafanya nae job sehemu flani,siku iyo nimeweka simu chaji upande wake msg zikawa zinaingia mi nimetulia tu.

baada ya kuingia zaidi akanistua kwamba nije nisome nikamwambia zisome kimya kimya kabla ya kunambia zimeandikwaje (baada ya kusoma naona mtu anacheka anasema siwez sema kilicho andikwa uje usome mwenyewe)

daah! kwenda kusoma nakuta nilikuwa na chati na demu flani naomba mechi ila akawa anakaza yuko danger days mie namwambia ntamwaga nje baada ya kuona vile nikaona hii aibu sasa nkasepa

Baada ya siku 2-3 yule mdada (wa kazini) katika stori akawa anasema ye hapendi kumwagiwa ndani bora atumie cond.nikaona huyu anataka mtanange

basi nikajisifia sana kuwa mtaalamu wa kumwaga nje na kumkaribisha gheto ila akachomoa

siku moja wikiend alifata kazi flani gheto si kimasihara nikamkumbushia nilivyo mtaalamu wa ku withdraw katika utani utani akajaa ulipigwa mtanange matata sana hapo. nilimwaga nje goli zote 2 toka hapo akitaka mtanange ananistua japo sharti lake ni kutomwagiwa ndani siku moja nilitupia ndani alikuwa mnyonge sana yaani kama anapata kinyaa sijui alafu anafyonza njia nzima wakat wa kumsindikiza.
 
Mkeka wa wanawake huu haya na nyie fungukeni sasa, Sisi episode yetu ishafika mbaali sana. Kongole Rikiboy... Ila na wasiwasi na muanzisha uzi siku za usoni atakuja kubadili ID kwa ku regreat manake kukubali kuliwa ki kimasihara duh!!!
....... Hatari saana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…