Wana MMU kazi hapa Mwanza imeisha, na sasa kila mmoja anaangalia namna ya kurudi alipotoka na kuangalia zawadi za kupelekea wana familia.
Kwa kuwa nimepata muda kidogo ngoja tumalizie kiporo chetu maana niliahidi kuleta stori hii January 2020.
Siku ya Ijumaa Agosti, 2 mwaka 2013 nikiwa nyumbani kwa ββbrazaββ nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Shemeji yangu ambaye kiukweli ni mshikaji na rafiki mkubwa sana kwangu ananigongea asubuhi na kuniuliza kama naweza kumsaidia kwenda kulipa ada ya mtoto benki na kisha kupeleka risiti shuleni. Nikamjibu kuwa haina shida nitafanya hivyo, akaniachia pesa na ββbank detailsββ kisha akaondoka.
Kufikia saa tano asubuhi nikawa nimeshakamilisha malipo benki hivyo nikaelekea shuleni ili kuwasilisha risiti za benki kwa mhasibu. Nilifika shuleni na nikaenda ofisi ya Mhasibu kwa ajili ya malipo. Ndani ya ofisi kulikuwa na kijana wa kiume(ambaye ndio mhasibu) na dada mmoja mweupe, mrefu na nywele ndefu. Niligonga mlango na kuuleza kuwa nimeleta risiti za malipo ya ada kwa ajili ya mwanafunzi fulani, baada ya kutoa maelezo hayo huyo dada akanisogelea huku akiwa anatabasmu na akauliza ββ wewe ni baba yake na(akataja jina la mtoto wa braza), nikamjibu hapana mimi ni baba mdogo, nikamtazama sura vizuri alikuwa binti mzuri mwenye ββdimpozββ na mwanya wenye vipimo, nikapeleka jicho mkononi nikakutana na pete ya uchumba, nikajisemea huyu mchumba wa mtu . Nikawasilisha risiti kwa mhasibu, kisha huyu dada wa kike akajitambulisha kuwa ni mwalimu wa mtoto wa braza na kuna karatasi anatakiwa kunipatia.
Nikaongozana naye mpaka kwenye ofisi ya walimu na akanitambulisha kwa walimu wenzake kisha akanipatia karatasi kadhaa kwenye bahasha na kunisindikiza kutoka nje ya ofisi. Tukiwa tunatembea akapigiwa simu na kupokea, alipomaliza kuzungumza akaniambia, kuna kijana alimuahidi kumwekea ββanti-virusββ kwenye laptop yake lakini amemwambia hatoweza tena bila kumtajia sababu, nikampa pole na kumwambia nina anti-virus ya Kaspersky ya ββtwo βusersββ kama atahitaji naweza kwenda kumwekea, binti akaniambia sawa, na kuniuliza vipi una nafasi jumapili jioni? Nikafikiri kwa sekunde kadhaa na kujibu nina nafasi. (Kiukweli nilikuwa na ratiba zangu siku hiyo lakini niliona siwezi kosa kumfahamu huyu binti). Akanielekeza anapoishi, tulibadilishana namba na kufahamiana majina kisha nikaondoka kurudi kwa braza.
Jumapili saa moja na robo asubuhi, nikapokea sms ββumeamka salama baba mdogo? Kama unaweza njoo mapema ββ, nikasoma sms na kujibu, ββnimeamka salama, hofu kwako malkia. Mapema ya saa ngapi?ββ, binti akajibu ββhata sasa hivi wewe njoo tuββ.
Sikupoteza muda nikaanza maandalizi ya safari kwenda mwalimu. Haikuwa kazi kufika alipokuwa anaishi maana ni katika yale maeneo ambayo mitaa imepangwa vyema. Nilikaribishwa na mwalimu akiwa na pajama na blauzi ya kitambaa chepesi rangi nyekundu. Kwa mazingira ya alipokuwa anaishi nilianza kuhisi inawezekana ni mke wa mtu na sio mchumba tu kama nilivyofikiria.
Nilikaa sebuleni na yeye akaelekea jikoni na kuniuliza kama natumia mayai ya kuku wa kisasa. Mwalimu aliandaa chai na tukakaa mezani ili kupata kifungua kinywa. Tukiwa tunakunywa chai nikaona niulize, ββvipi baba mwenye nyumba bado amelala? ββ, binti alijibu huku akitabasamu ββhapana, hapa baba na mama ni mimi mwenyeweββ, nikapeleka jicho kwenye pete, akaniambia hii ipo hapa kama ngao tu, kupunguza usumbufu. Moyo ukapata haueni kidogo, japo kwa maisha yale nikaona kabisa huyu sina cha kumdanganya.
Tulimaliza kunywa chai na nikaletewa ββlaptopββ ili niweke anti-virus, binti akaja akakaa pembeni yangu huku na mimi nikianza kazi ya kuweka anti-virus, binti alisogelea kwa ukaribu sana, kisha akaniambia ββba mdogo you smell goodββnikapigwa na bumbuwazi kisha nikajibu, thanks madam. Ukaribu wa mwili wa huyu binti ulianza kunifanya nisifikiri sawasawa. Nikaona walau nimsifie kwa nywele zake, binti akazishika na kuniambia ββzishike uone zilivyo ndefuββ, nilishika zile nywele na kuingiza vidole katikati, nikaona binti anashika mkono ili kuutoa, nikasogeza laptop na kumshika kichwa kabisa na kumvuta upande wangu, binti akatamka kwa uvivu ββ baba mdogo what are you doingββ, nikamjibu huku nikimsogeza ββnothing madam, relaxββ. Nilikula mate, nikacheza matiti yaliyojaa vyema, nikaingiza mkono kwenye pajama binti hakuwa na hata na chupi, nikaishusha na mwisho nikala tunda. Huyu binti ni miongoni mwa mabinti romantic niliowahi kukutana nao, yaani anakusifia wakati wa tendo na baada ya tendo mpaka unapata ashki za kumshughulikia kila wakati.
Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu nilikutana na mwanamke ambaye anapenda kukaa uchi mnapokuwa mmebaki wawili ndani ya nyumba, hii siku tulipika pamoja chakula cha mchana tukiwa uchi na kushinda tukiwa uchi huku tukipeana utamu kila tunapojisikia. Licha ya kuwa haya maisha yameshapita lakini baadhi ya siku huwa namkumbuka sana madam maana ni mwanamke wa pekee sana na anajua kukuridhisha mwanaume.
Nikapitisha siku yangu hapo, nikijilia mema ya Tanganyika. Usiku nikarudi zangu kwa braza nikiwa mwepesi kabisa.
Niliendelea kula tunda la madam kwa miezi kadhaa baadaye aliondoka mjini hapa ndipo nikagundua kuwa alikuwa na asili ya nchi jirani ila amekaa sana hapa Bongoland.
Note: Nilikula tunda kimasihara lakini madam aliniambia baada ya kuzoeana kuwa alishajiandaa kuliwa tangu aliponiona pale shuleni. Alihitaji sababu tu ya kujenga urafiki na ukaribu.
Hawa wanawake kuna nyakati wanatutamani pia sema hizi mila zetu kwamba mwanamke kumtongoza mwanaume ni ββmwikoββ na umalaya. Miaka hiyo nikishajiridhisha kuwa mwanamke anataka dushe nilikuwa natengeneza mazingira tu ya kumla bila kutongozana.
Kama kawaida Watanzania wenzangu tufanye kazi na kutunza familia zetu, mimi nipo off leo baada ya kazi nzito ya maandalizi ya siku ya Uhuru wa Tanganyika.
Kwa wale ambao wazazi wao wapo hai kama ni mjini au kijijini hakikisha wazazi wako hawakosi chakula na mahitaji mengine muhimu ya kimaisha.