Uliwezaje kumkopesha mwanamke uliemla na akakurudishia ngumu kueleweka
 
Mkuuu kwani ukisema ulinunua kipochi kwa pesa ndefu, kwani tutakupiga?
 
Ni Kweli mwanamke akiamua kafanya lake anafanya,lakin kuna baadh ya mambo hutakiw ku entertain, mfano mkeo au demu wako awe na marafik wengi wakiume na ww ukaona ni sawa tu eti kisa akiamua kuliwa analiwa,noo kuna vitu hutakiw entertain kabisa.
 
[emoji1787] [emoji1787] Tapeli
 
Uliwezaje kumkopesha mwanamke uliemla na akakurudishia ngumu kueleweka
Ni mwanamke ambaye anaakiki ya utaftaji na nahisi kichwani mwake aliplan kusaidiwa zaidi ya hiyo kiufupi huwa anafanya mishe za kilimo katika large scale
 
Kama hujaondoka tuwasiliane
 
Duh
 
Umetisha tapeli
 
jaman msada hivi ikoje kila napomsogelea bint kwa ajili ya kumtongoza nikiwa naye zero distance lazma nipige chafya na haikuwahi tokea chafya akaja afu nimkose ila isipokuja nimekosa

na mara nyingi inakuja hasa napotaka kumkumbatia hivi

kifupi pia tongoza yangu sio maneno nakupenda sijui blabla kibao
kihuni huni saana naweza shika tu mkono mchekeshe kidogo mvute karibu chafya hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…