Lengo lako la kutunga stori ya uongo kama hii ni kutaka kuonyesha kuwa wanawake wa mtwara hasa wamakonde ni malaya kumbe sio kweli kabisa kwasababu kama ingekuwa hivyo kuanzia hapa mtwara mjini pale kwa lipaja ambako ni danguro tungewakuta wamakonde tupu ila chakushangaza ni ngumu kumkuta mwanamke wa kimakonde pale na hata ukienda kwa brother Y napo hautakuta mwanamke wa kimakonde pale na hata ukienda Bar ya shooters napo haukuti mmakondè hata mmoja ndio huwa najiuliza umalaya wa ndugu zangu hawa huwa wanaufanyia wapi?
 
Hiyo inaitwa mwanakulitafuta,mwanakulipata🤣
 
Na LIKUD Si alikua pande hizo jana.

Mnanishawishi nikale krismasi huko aisee
 
copa cabana
 
Sasa umpate mmama wa 35 mpaka 40 hivi.. hiyo per diem yako yote utaiacha Mtwara..
Na uhakikishe umekula ugali nyama choma au ugali samaki wa kukaanga na kachumbari.
Ugali wa kutosha. Epuka wali na sijui tambi.
 
Wewe kuna kitu ambacho huelewi. Hatusemi wanawake wa kimakonde ni malaya ika tunasema wanawake wa kimakonde wanajua mapenzi kitandani. Mimi sijatoka Dar kuja Mtwara kununua malaya wa bar. Ninachukua wanawake ambao sio malaya wa kujiuza bar yani Nina mtongoza tunakubaliana the mambo mengine yanafuata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…