Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Lengo lako la kutunga stori ya uongo kama hii ni kutaka kuonyesha kuwa wanawake wa mtwara hasa wamakonde ni malaya kumbe sio kweli kabisa kwasababu kama ingekuwa hivyo kuanzia hapa mtwara mjini pale kwa lipaja ambako ni danguro tungewakuta wamakonde tupu ila chakushangaza ni ngumu kumkuta mwanamke wa kimakonde pale na hata ukienda kwa brother Y napo hautakuta mwanamke wa kimakonde pale na hata ukienda Bar ya shooters napo haukuti mmakondè hata mmoja ndio huwa najiuliza umalaya wa ndugu zangu hawa huwa wanaufanyia wapi?