Wamakonde na watu wa Lindi sio Malaya ila wa mishow ya kuvunja Chaga

Ngono kwao ni starehe na wanaimudu kweli
Ukiwa mjwa mirinda Kwa show zao hutoboi
 
Ndio ndio
 
Tanga ipi?
Yanayosemwa mengi kuhusu Tanga,hakuna uhalisia.Sidhani mtu wa Magoma,Lushoto n.k kama kuna hayo mambo.
Ukisema Tanga wanajua mahaba maana yake tanga mjini pale sahare, kwakidira, nguvumali

Pale Kwa wadigo wenye mwingiliano na wa mombasa

Sio huko pembezoni sijui lushoto Kwa ndugu zetu wasambaa korogwe sijui magoma huko hamna kitu zaidi ya watoto weupeee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…