Kashusha pajama au
 
wewe umesoma chuo gani mzee? labda wewe ulikuwa hujichanganyi tu
 
mkuu sijui hiyo 3some sijawah ivo siwezi kucomment chochote, ila hili swala la kula kimasihara lipo, binafsi nmekula zaidi ya mara 10 na humu nmeandika kisa 1 tu!!
Nikushauri vitu 2 tu,1.Dunia ni zaidi ya uijuavyo hivyo kitu kama hukijui hujawahi haimaanishi hicho kitu hakipo!!
2.ukisikia au ukiona kitu usichokijua, usiwe mwepesi wa kukikubali au kukikataa,hutojifunza!! Mwisho jaribu kutembea seheme tofauti tofauti, nje ya mtaa, mji au hata mkoa unaoishi uone wenzio wanaishije
 
Wewe jamaa kilaza sana. Sasa si alishusha pajama.
Ulifaulu kweli wewe?!
 
kwani kinachoshushwa ni chupi tu,hapo baharia aliishusha bajama au pajama inapandishwa?
 
Nadhani tu kitu ilikuwa haijaguswa kitambo...hakukuwa na dalili,ila dalili zote kuwa kitu ilikuwa na kilomit chache sana mzee!!Bila mate na lubricant,athuman anapata shida kuvuka traffic light
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]athuman
 
Dah!! Jana niliona tukio hilo saa 7 za mchana jamaa anakula tunda kimasihara pale Millennium tower, tena mwanamke anapete ya ndoa mkononi,Kwenye hizi office kuna mengi sana yanaendelea...!! Nadhani yule baharia au yule dada kama wapo humu basi wajue niliwaona.
 
Sipo dunia hii, nitakuwa nipo kijijini kwenu[emoji849][emoji849]ila three some ni kitu ingine kabisa..kwanza inapaswa uwe umetia kilevi kikali zaidi (mrusi, k-vant, konyagi) ama uwe umekula BHANGE[emoji125][emoji125]

Mwamba naona hujaelewa nilivyosema haupo dunia hii...Mkuu 3some zinafanyika Tena watu wakiwa sober kabisaaa....bila hayo mak-vant wala bhange unazosema.

Mimi mwenyewe nilishafanya 3some nikiwa Niko sober Kabisa Na mademu wako sober vile vile..

Kwa kifupi tu hii dunia ni zaidi unavyoijua...lislowezekana Kwako kwa wenzako linawezekana...Tena simple tu yaani..
 


Nadhani mwamba atakuja Na hyo kimasihara yake muda si Mrefu....hahahahaaaaaaaa
 
aliishusha pajama
 
Si aliishusha hiyo pajama ili make tunda vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…