Ulishawahi kula tunda kimasihara?
hearly, ]aaah kumbe kuna group kabisa telegram..me nahangaika mpaka ngatwa na mbu bar!!..
 
Umeamua kumuita Master sasa. Kuna channel ya telegram nilipata link kwenye uzi wa Biashara za Badoo kuna majamaa mawili yanasifiwa kwa kufanya video call na warembo wa mule. Wale ni nyinyi 100%
sasa mtu anafaidika vipi na video call?..
 
Binti akishakuwa rafiki jua umeshapoteza asilimia 70 za kumgegeda.
Miaka ile kuna binti mmoja nilimfanya rafiki, anaweza kuja chumbani kwangu akalala na chupi tu, na nikiomba mzigo hanipi ataishia kunizingua tu. Wakati mwingine wewe unatengeneza urafiki anatokea mwamba anakula mzigo kiulaini kabisa. Kula tunda kwanza urafiki uje baadaye.
Alishakuona bwege
 
Nashangaa huyo ndugu yako..ana group kabisa lakini cha ajabu hataki kuku connect..sijui anakuogopa kuwa utamlia machicks wake
aaah kumbe kuna group kabisa telegram..me nahangaika mpaka ngatwa na mbu bar!!..
 
Dah!! Jana niliona tukio hilo saa 7 za mchana jamaa anakula tunda kimasihara pale Millennium tower, tena mwanamke anapete ya ndoa mkononi,Kwenye hizi office kuna mengi sana yanaendelea...!! Nadhani yule baharia au yule dada kama wapo humu basi wajue niliwaona.
Kama una nafasi wambie tunasubiri story yao

Mwezi wa ku refresh huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom