Umesahau kuweka
Wenu mtiifu,

...................

Mbope
 
Last year mwishoni nlienda conference mambo ya Afya iliyofanyika moja ya nchi zilizopo kusin mwa Afrika ambayo ilikua na watu kama 5000 ambao wengi n kutoka nnchi za Afrika wana hudhuria, na mm nikiwa mmoja wapo. Katika hotel niliyofikia tulikua watu kama 50+ ivi ambao wote tunahuddhuria io conference. Sasa asubuhi wakati wa kwenda ukumbini kuna shuttle ambazo asubuhi zinatuchukua kutupeleka ukumbini na jioni zinaturudisha. Siku ya 2 ya conference asubuh kwenye shuttle nikaa na binti mmoja from Nigeria tumwite M wakati wa kwenda ukumbini tukajikuta tunapiga sana mastory kuhusu uzoefu wa vitu tunavofanya had watu wa nyuma yetu waliokua wanaskia wakaomba nao kuhusishwa kwenye maongezi. Haikua issue maana tuna hudhuria conference kujifunza. M n mdada flan classic iv sio mrefu, sio mfupi, sio mnene sio mwembamba (ana miguu mizzuri sana jamani ) na yy n mfamasia ila katika stori akatokea tu kunikubali na mm pia alinivutia n wale wadada pure class u can tell ni modern women ila sio mshamba maana ana exposure maana anavaa vizuri, ananukia na she talk sense yaan utapenda, basi akawa rafiki yangu tokea siku io, Asubuh tunakutana hoteli kwenye Breakfast, mchana kwenye korido na Lunch ukumbini na jioni kwenye Dinner, Of cuz nliwaza kama opportunity ipo nimalize ila sikutaka kuonesha ufisi mapema sana. Sasa kuna siku kweye harakati za kuswitch venue za session nakutana na M yupo na mdada mwingine mkenya tumwite Q akanitambulisha pale na kunipa masifa kibaooo mm nawacheki tu tukapiga story na picha then tuka exchange contacts af mm nikaachana nao. Q na M walisoma wote Masters UK chuo kimoja na ufadhili wao wote ulitoka kwa taasis moja so walikua wameshibana haswa. Conference ikaisha nikarud zangu Tz kuendelea na maisha fresh. Yule Q sio mzuri wa sura ila shape mashalaah af ana mwili ivi uyo M n ki portable ila mzuri. Nikiwa Tz nikawa na chat sana na M issue za kawaida na tukawa tunashirikishana tu opportunity za apa na pale. Mara nyingi kuchat n whatsaap au imessage basi siiku zinasonga life goes on. Yule Q nklijaribu kuchat nae ila akawa ha respond nikaamua kumpotezea mazima na kua na view tu status zake whatsaap.



Juzi Ijumaa kulikua na mkutano apa Dar ambao ulikutanisha wadau wanawake waliopo kwenye uongozi kwenye sekta ya Afya ulifanyika ukumbi maarufu apo posta city center ambao watu kutoka zaidi ya nnchi 50 tofauti duniani walihudhuria. Nikiwa sina hili wala lile inaingia Text whatsaap, “Hi Stiffler I am in Dar for Conference can I say hello” kuchek n Yule Q duhh basi tukachat sana nikambwambia napoishi then aka propose jmosi tumeet akitoka nikasema poa. First nikawaza nimpeleke hotel kali tupige msosi na mastory then nimrudishe hoteli kwake ila kweye story akawa anataka kwenda Wavuvi Kemp ( madem wa +254 hawa nomaa endelea kusoma) au samaki samaki. Akasema yuko n wenzake pia wakenya wanataka waka enjoy Dar maana inasikfika sana kwa bata. Alishawai kwenda Samaki samaki masaki ila kaskia jamaa Yule Yule wa samaki kafungua sehem inaitwa Wavuvi. Sasa na zile mvua siku ile nika suggest twende tu samaki samaki masaki maana Dj mzuri, af chakula pia kizuri maana walikua hawajala akakubali. Mjuba nikawasha gari had walipofikia nikawakuta wote wa 3 wapo chumbani kwa Q wakanikaribisha ndani nikatambulishwa, kwanza to my supsrise madem wanakunywa Konyagi tena ile ya kati( nikawa surprised) Q akaniambia usijali tumezoea izi mambo hatulewi kirahisi nikacheka tu hata kesho tutawahi conference. Basi story kiaina hao wacha gari had samaki masaki. Tumechill pale agiza msosi tukala mm nakunywa local beer wao wamechukua Abslolute Vodka nawacheki tu. Piga ma story ww sasa ukimtoa Q rafiki zake wawili tumwite A na P. Uyu A kama Q sura mbovu ila shape noma ila uyu P kidgo sura nzuri na alikua na shape iv af yy alionesha interest kutaka kunijua kidgo so na mm nikawa naongea nae mda mwingi maana Q na A walikua bize kutaka viuno maana Dj alikua anapiga ngoma kali sana af madem wa Kenya wanamwelewa Diamond saana kuliko sisi na nyimbo zoote wanaimba kuanzia Enjoy na ile Shu mm nawacheki tu. So Q na A mda mwingi wakawa wanacheza mm na P tunaongea. Baada ya kilevi kuingia had tone na maongez yakabadilika na hapo ndo nikaona uwezekano wa kuwakilisha taifa upo. Kwenye maongezi P akaniuliza Umeoa, nikjibu No, nikajibu time tu haijafika yuko ohh TZ guys n players hata Diamond si unaona alivo amezaa hovyo hovyo nikamwambia sio kweli mm nna sababu zangu akawa anakomaa nimpe mm nikawa namzuga zuga tu. Ila Nikambwambia nna GF ambae natarajia kumwoa. Muda wote hapo mda mwingi tunaongea kiingereza tu hata wale madem wa TZ waliokua pembeni yetu wakawa wanatuangakia kama hawaelewi na hata akija waiter anaanzia kwanza kwangu af ndo namshirikisha Q. Sasa muda ukafika wale madem kuondoka wakataka walipe Bill yote peke yao nikagoma mm (akili za madem nazijua hawakaii kunitoa points) nikatoa card na wao card so ile bil nusu nikalipa mm na wao nusu iliyobaki ( bill flan mlima kwa wanaoenda samaki samaki mnajua hali ilivo pale) then tukondoka nikawachukua haoo had hoteli nikawaacha.


sasa kesho yake sasa nikajikuta nachat sana na uyu P ( nadhan she felt comfortable) akanisifiaa sana how gentleman I am, sijui niko educated na najua how to treat a woman nikahis ii faulo ii. Kwenye kuchat nikamwambia akitoka anicheck basi kweli ilikua jpili. Akanichek nikaenda nae Hotel maarufu karib sana na pale ukumbuni nikakae nae sasa ndo namwona vizuri asee, Dem flan black beauty tako, mguu ngozi imenawiri nn dah kimoyo moyo nasema huu mwaka wa kuforce huu. Tumechill pale Q tunakunywa wine had saa 3 usiku akapigiwa siimu na wenzake akawaambia kakutana na mm mjini ghafla af nimempeleka kula mdudu (Ilikua kamba tu nlimpanga) basi Yule Q akanichek whatsaap kwann sijawastua nikawapa location waje wakaniambia wameenda wavuvi labda niwafuate kule. Nikawaza kesho j3 job nikienda wavuv apa sitoboi basi nikamwambia mm namleta uyu ila sitakaa akasema poa. Basi tumetoka pale dem akasema nimpeleke hoteli akabidilishe mm sawa, vuuum had hoteli kwake nikazuga namsubiir kwenye gar dem akagoma akasema twende room tukaenda. Tumefika nakuta pakti ya fegi ipo nusu na konyangi ndogo ipo nikachukua ile nnusu nikamwambia kumbe you smoke yupo yess on my private time sipend watu wajue nikasema poa, nikamimina ile nyagi nikawa naipiga mdgo mdgo na maji. Baada ya kama nusu saa pale kimtindo akili zikawa zishangamka nikasema ngoja nijiongeze. Nikamwambia did I ever tell your beautiful yuko akanisogelea et please tell me nn umevutiwa na mimi. Nikmsifia pale jinsi ambavo ana ngozi nzuri kumbe dem anaendaga spa ndo kuniambia sasa, nikamsfia ambavo she is go getter na anajiamini sasa kuna namna alikua ananiangalia kwa macho romantic ivi kiwiz wizi af anacheka had nikawa najistukia. Akaenda kuoga karudi mm nipo upande wa sitting room nachat tu yy chumbani. Nikaskia kaniita nimfunge zipu ya nyuma kwenye mgongo, alikua akavaa kitop cha leather kitovu wazi na bonge la mini kama n mwanaume kamili lazma mnara usome 5G. nikamwambia Q u look sexy like James Bond wife. Akacheka eti kwa io ww ndo unataka kua James Bond nikacheka tu yuko speak out Stifler I am listening, this time akawa kanigeukia tunaangaliana sasa ikapita kimya kama sekunde 20 ivi nikasogeza ulimi nikala mate piga touch piga touch za kutosha nikaanza kumvua nguo hakusita ila ilipofika kwenye chupi akanipiga stop akaenda zima taa af akaniuliza swali moja kama nimepima HIV and if I know my status. Jibu lilikua Yes akaenda kwa Begi lake la nguo akatoa pakti 1 ya condom ( kimoyo moyo nasema leo nimepatikana). Apo Q kapiga simu anauliza tupo wapi nikamwambia mm nipo parking bado masubiri P arudi nije nae (huku namwangalia nacheka). Apo apo sim ya P ikaita (whatsaap call) kuchek Q anapiga akaimute tu akasema lets make it quick. Ile kauli ilinipa ushujaa sana nlitomba kimoja tu cha faster ambacho sikukawia sana nadhan sababu ya ule mzuka na kale ka uoga maana sijawahi kukutana na madem wenye confidence za ivi japokua akili ishastuka.

Baada ya pale akasema tukaoge wote nikawa kama naona noma ivi akanishika mkono vumm had bafuni tukaoga tukavaa tukasepa had wavuvi. Kufika pale Q na A washawaka wanauliza ohh mbona umechelewa akasema alikua haoni hereni yake 1 so kaitafuta mda mrefu sana hadi kuipata. Basi pale mm nikasema jaman kesho mm job sitokaa sana wakaanza ohh sijawachek nimemtoa mwenzao nikamwambia uyu nmekutana nae juu kwa juu sikua na ratiba nae wakaguna guna na kutania but badae wakaelewa tu poa. Nikanywa bia 1 tu by saa 6 kasoro mm nikasepa nikawaacha pale. Nafika home text za P ohh I will miss you please come to Nairobi you will have fun with me blah blah kibao. Kesho yake wametoka meeting saa 10 jioni wakaenda straight Airport ndege yao ya 3 usiku kurudi 254. Saiv tunachat sana na P sina hakika kama Q anajua au hajui but who cares, nmewakilisha taifa.



Over
 
Ndugu, Nimesikia mlimwa mpaka nimecheka
Dah vijiji vya ndan chamwino huko
Sema nn dem amekubal show na yawezkn bwana wake au basha wake kashaanza kushtukia game
 
Nzega mpka arusha kwa gar
Nzega mpka arusha around saa moja hv mnafika sema ulikuw sharp alitakiw kulala huyo
 
Ila we jamaa uko slow sana.
 
Ila we jamaa uko slow sana.
Ni kwel ila jamaa alikuwa anapenda type za Hali nzuri,Sasa Kwa bahati mbaya anasema alikuwa anakutana na pisi mbovu,😂 mara Zina vuta sigara mara Zina piga nyagi Kwa apo lazima awe slow 😂,Mimi simlaumu ila Kwa mazingira anayokuta nayo lazima awe slow,ata ingekuwa Mimi nisinge kuwa na haraka 😀.
 
Uliwakilishaje taifa na ndosti? Hapo ni kama hujapiga tu
 
SALAAM , WANAMIZAGAMUANO

Tulikutana Club na huyu bibie alikuwa anakunywa juice na mimi sikumbuki vzr i think Bavaria ndo kinywaji changu pendwa by then wote tumekaa reception main stage kuna burudan za hapa na pale tukawa tunacomment kuhusu zile show zinazoendelea pale jukwaan ikatokea tukawa na kabond ndan ya muda mfupi kama tumejuana kitambo nilitoka kwenda msalan dkk chache kurud namkuta bibie analalamika kuna mtu kamwaga kinywaj chake i was like , "agiza tu tena mi nitakulipia " i think hapa nikachukua poin 3 za away
baada ya muda ikawa kujimwaga stejin bibie akaniita stejin twende tukayarudi mayenu ili kuonyesha sina papara nikamwambia nenda nitakuja baadae but sikuenda nikauchuna tuu ( point 3 za home) that was end of day 1.
DAY 2 Tulikuja kuonana tena same place baada ya wiki kama 2 hv akanichangamkia sana nami nikamchangamkia ikawa full shangwe siku hiyo mpk muda wa kurud home nikamsindikiza kwake mida kama ya saa 9 usiku hivi nikachoma had ndan bas mtoto si akaanza mikogo mara kubadili nguo mbele yangu nikamwambia why between my upwiru you are passing arround usije kuniona mi foward butu kama Jobe wa Simba nikamrukia mpaka kitandan mtoto anahema juu juu tu kumbe utelezii zamaaaani ,
Dj naomba nipigie Amelowa ya Harmonize.
 
Sawa pharmacist, tukutane kijiwe chetu leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii sio kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…