Usinge delete namba kuna wengine tunaitaka
 
Chai ya sukari gulu
 
Sitoandika sana nisije nikapigwa ban, ila cha ushemejini kitamu sana.

Kiufupi iko hivi, wife kaona nimepoa sana ukali wangu na yeye akaanza kuja juu. Mwezi uliopita kikatokea kisa kimoja eti akaamua kuondoka akaenda kwao, kaniachia watoto nyumbani. Kizuri kuna house girl, nikasema wala sio kesi sababu ni wale housegirl wanaofanya kila kitu nyumbani, hadi nguo zangu anafua yeye.

Sasa wiki jana akaja mtoto wa mamdogo wake alikua anatokea Mkoa X, huwa wanaitana dada dada, lakini kiumri kazidiwa na wife

Mtoto mweupe bado mbichi bichi hivi. Kakaa pale nyumbani siku 2, siku ya 3 nmetoka zangu kupiga vyombo na wadau namkuta peke yake anaangalia Netflix sitting room yupo na nightdress, hizi pombe aisee, sijui ikawaje nashtuka asubuhi mtoto kalala kwenye kitanda changu, tukazimua kingine.

Sasa imekua kamchezo, na ni kitamu balaa. Nataman hata nimuache huyu wife.

NB: Hii ni CHAI ila haiondoi ukweli kwamba cha ushemejini ni kitamu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…