Kwema wadau, kuna mlimbwende kaingia kwenye kumi na nane zangu a.k.a wanaita kimasihara. Sasa baada ya wahind kutoka nikajikuta nagongana nae macho huku akiwa katabasam, ghafla kaamka kmya kmya kasepa. Hii imamaana gan?
Tabasamu la ushindi.

Bluetooth connected successfully kwenye grid ya taifa
 
Dawa aliyotumwa na Bibi yake kwenye kikao ushampatia kafanikisha jambo ki wepesiiii 😅🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…