Huu ndio ule wa kula tunda kimasihara πŸ˜‚πŸ˜‚β˜οΈ ndo naucheki nmereply tu , niliwahi pitia comments za waja nikasema dunia ina watuu bhana
Huu Uzi ulikuwa Moto Sana πŸ”₯πŸ”₯ wakati tuna Anza nao ilikuwa ni balaa bandika Bandua kimasihara ilikuwa kimasihara kweli ' Gen z Wana tuangusha Wana visa vichache Sana 😁
 
Umenikumbusha kisa kimoja hivi dahh I was foolish Kwa kweli 😒😒😒
 
Watu wengi wΓ meoa wake za watu wa mioyo yao!
 
Hii ilikuwaga kubwa kuliko. Siichoki kuisoma siku zote.
 
Mzee ulikumbuka ndom au ndio ileeee
 
Chai
 

Kimaskhara mnawekana hadi bao 3 mlijipanga nyie kimaskhara huwa bao moja tu kila mtu anakimbia [emoji3]
 
smarte_r
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…