repost
tukio hili nitakalolisimulia hapa halijatokea siku nyingi, ni wiki mbili tu zilizopita.
kwa kawaida mimi ni mtu wa kusafiri sana kikazi na kwa safari zangu binafsi.
napenda kusafiri na ninashukuru kufanya kazi ktk field inayonifanya niwe nasafiri mara kwa mara. ukipitia baadhi ya post zangu,utabaini hilo.
nimeambatanisha screenshot inayoonyesha timeline yangu ya mikoa ambayo nimefika mpaka sasa tanzania hii. kwa sasa nipo mkoa wa pwani.
wiki mbili zilizopita nilikuwa mkoa X kikazi.
niliwasili ktk mkoa ule mida ya jioni. nikaelekea moja kwa moja ktk hotel ambayo tayari nilishafanya booking.
ilikuwa ni hotel ya ghorofa saba, chumba changu kilikuwa floor ya pili. nikiwa napanda ngazi kuelekea room kwangu, kwenye corridor nikakutana na mdada mmoja mrefu wa kimo halafu black beauty flani, mzaliwa wa kaskazini mwa tz.
wakati mimi napanda ngazi kwenda juu, yeye alikuwa anashuka.
alikuwa kavaa jinsi tight ya dark blue na sweta rangi ya kijivu.
alivaa sweta kutokana na hali ya ubaridi ya mkoa ule hususani miezi hii ya sita kuelekea wa saba.
halafu alikuwa ananukia manukato mazuri sana ya kike. mimi ni mlevu wa manukato, pia navutiwa sana na wadada wanaonukia manukato mazuri.
wakati tunapishana pale kwenye ngazi, nikamuwahi kwa salamu, halafu nikamuomba samahani ili asimame kidogo tufahamiane.
baada ya maongezi mafupi ya kufahamiana nikamuomba namba ya simu na yeye nikampa ya kwangu.
ndani ya nusu saa nikamcheki. tukapiga story kadhaa kwenye simu, nikamueleza kizi yangu na kilichonileta ndani ya mji ule.
yeye akaniambia ni nimuajiriwa wa wizara X ktk kitengo kinachohusika na masuala ya auditing. akaniambia amekuja ktk mji ule kikazi kwa mda wa wiki mbili.
ilikuwa ni mida ya saa mbili usiku, mdada alionyesha kunikubali sana kupitia maongezi yetu kwenye simu.
akanimbia yupo alone room kwake floor ya nne anacheki movie,nikamwambia kama vp shuka njoo floor ya chini kwenye lounge ya ile hotel.
akaja, akanikuta mzee mzima nipo counter nagonga zangu windhoek mdogo mdogo.
na yeye nikamnunulia heineken nne, baadaye wote tukawa tumechangamka kwa kilevi huku tukipiga story za hapa na pale.
akaniambia nimsindikize room kwake akamalizie kuangalia movie. kimoyo moyo nikasema huyu tayari ny*g* zishampanda. acha niende nikampelekee moto.
nilichowaza ndicho kilichotokea, alikuwa kalegea sana.....nikambandua room kwake siku ileile kimasihara tu.
nililalanae mpaka asubuhi. room kwangu nilirudi saa tatu asubuhi. kile chumba kililala empty.
tukawa tunaendelea kubanduana kwa siku zote zilizokaa pale hotelini. mpaka sasa bado tunawasiliana.
NB: kiumri nacheza kwenye early 40s.wakati fulani niliwahi kuandika uzi uliokuwa unazungumzia idadi ya wanawake niliowahi kutoka nao kimapenzi mpaka sasa, ambapo kwa idadi ni zaidi ya wanawake 100. ule uzi ulivuta hisia za wana JF wengi na ulikuwa una trend kwa kasi sana.
moderators kwa wivu au kwasababu wanazozijua wao, wakaamua kuufuta.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
timeline yangu hii hapa. hii inaonyesha baadhi tu ya sehemu nilizowahi kufika ndani ya tz hii. ila almost hakuna mkoa ambao sijafika.
have a good weekend guys.
View attachment 2408665View attachment 2408666