Wale wanaosomaga stori za watu then wanasema chai naonaga ni matter call kama matter call mengine. Kuandika sio shughuli lelemama.
 
Sasa arteta akaingiaje hapa, tunyweshe tu tangawizi
 
Mkuu kwema ? Nina imani kuna mdau alikushauri upitie ubalozini kwao pengine wanaweza kuwa msaada. Naamini ulifanya hivyo na pengine ulishajua mahali pa kuanzia.
 
subiri kwanza usiendeleze story nipo kwenye maombolezo ya msiba wa wazazi wa wanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…