Alikuwa anajua hadi shanga nimenunua na nikamwambia nitamvaliasha wakati wa tendo na akachagua hadi rangi ya shanga hujiongezi.hapo
 
Ewaaaaa si ndo hapo, sasa kashindwa kumpanga demu kisaikolojia ili ajue akitia timu analiwa, kakaa tu kutoa mihela.
 
Shukuru Allah kakuepusha juu ya jambo fulani
 

Kama kaingia period unataka afanye nini? Mle basi, we ni pumbavu!
 
Sasa ungekata tiketi ya ndege 'go and return' si ndipo ungezirai..

Kiukweli nikuchane tu we ni mshamba.. tena shamba boy la karne...


We unaelewa hali yako taabani, ndio maana basi la VIP kwako unaona kama amepanda dreamliner? au private jet... halafu unavimba kumtoa mwanamke Mwanza ili umgonge, kafika kakunyima uchi umemfungulia uzi...

Kwa hali yako ya kiuchumi ungetafuta mwanamke katika mazingira yako, wapo wengi...

Halafu si kila mwanamke unayemsaidia utake reward ya uchi...
 
Nimsaidie nn wakati hela anayo
 
mnajuana vizuri. hayo yooote mtaongea yey hakuambii kama kashachinja kuku ila ngoja utume mzigo kwanza. utashangaa mlolongo wa visingizio unaanza na ikitokea amekuja ndo utakuta swagga izo apo...ndomaana mm naunga mkono busara za wakuu wanaosema apo hakuna namna mwamba achomeke bluetuth kwenye tundu lolote lingine lililokaribu naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…