Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Pole sana Mkuu, endelea kupambana na maisha. Hawa wanawake wachukulie poa sana.Weka namba nikununulie bia mzee wangu
Ipo siku akishakuwa single Maza atakutafuta atakupigia magoti na kulia. Atajua kosa lake. Anatumia advantage ya wewe kumpenda ili kujinufaisha na kukuumiza na bila kujali