Vzuri
 
Hatariiiiii
 
"What a Touching Love story" Machozi yalikua yananilenga lenga..Hakika nyinyi Mungu alikua na kusudi lake.

What a lovely story! Hongera sana mkuu na familia yako! Pia hongera kwa wazazi wako kumkubali mwanamke aliyekwisha zaa kumbe ilikua ni zawadi yako! Endelea na upendo huo huo!
 
Chai
 
To lake= tu ziwa
 
Asanteee
 
Mkuu zini kwa amani hio ilikuwa mada nyingine kabisa mtu aliifungua huko kuuliza kama kufanya mapenzi ni dhambi. Sasa mods wakaileta huku kuwakumbusha kwamba wazinzi na waasherati hamtauona ufalme wa Mungu.
Madam Hannah kizazi cha sasa hakitaki kufikiria/kusoma/kukifunza mambo magumu yenye tija kwenye maisha.

Mtu yupo tayari kuweka bando na kutumia zaidi ya lisaa lizima kusoma kimasihara tu. Baada ya hapo Anachangamsha kiungo chake na anarudi tena kuwa empty kwenye akili yake.

Teknolojia imetuharibi sana Waafrika kwa kushindwa kuweka vipaumbele vya msingi katika kuitumia
 
Mkuu upo songea?
 
Umenena vyema kabisa, Manyanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ