Ngoja niilete hii

Mwaka 2015 nikiwa chuo,nilipata nafasi ya kwenda field mkoa mtwara (huku nako nilikula tunda kimasihara nitaleta apa), nilivyorudi nyumbani nilikuta mabadiliko kidogo pale nyumbani,kuna ndugu yetu alikuja kutoka mkoani kuja kujiuguza hivyo ikabidi apewe chumba changu cha ndani na mimi wakanihamishia vyumba vya nje kwa wapangaji!!

Basi nikawa natoka asubuhi narudi usiku sana, sasa njiani kuelekea stend, asubuhi nakutana na dem flan hiv, na usiku pia, ikawa naonana nae mara kwa mara, lakini sikuwa na umakini nae ukizingatia mahusiano yangu hayakuwa mazuri so nkawa na stress za hapa na pale.
Weekend moja hivi,nmefua nguo zangu vizuri nikaziacha kwenye kamba nikaenda kuchek mpira, nmerudi mida ya saa 3 hivi nguo zangu sizioni, kwa sababu kuna kamvua kalinyesha nikajua zimeanuliwa na beki 3 au bi mkubwa tu hivo nikatulia.

Nmekaa geto nachat nasikia hodi,naulza nan nkasikia sauti ya kike mimi Flora,ikabidi niende mlangoni namkuta ni yule dem niliyekuwa naonana nae barabarani kashika nguo zangu kajifunga kanga shingoni, nilistaajabu sana kumuona pale nikamkaribisha ndani akawa staki nataka lakini akaingia, stori mbili tatu ndo akanambia anakaa pale kwetu kuna mpangaji wetu mmoja mama j ndo dada yake!

Tumekaa mtoto macho yake yanatalii tu geto, sikua na vitu vya thaman sana geto wkati huo, lakin nilikuwa well organized, mtoto akaanza kunisifia pale, ooh geto lako anakufanyia nan usafi, nan amekupangia vizuri hivi, mara anyanyuke ashike hichi mara hichi, akaenda kwenye dressing table anakagua perfumes me namchora tu, mawazo ya kibaharia yakaja hapo hapo nikanyanyuka nikaenda kusimama kwa nyuma yake tukawa tunajiangalia kwenye kioo cha dressing table pale,akaropoka "tunapendezana eenh huku akicheka"mzee nikaona fursa hii nikamshika kiuno nikamvuta kwangu mtoto anajipinda pinda, ingiza mkono ndan ya kanga kupma oil mtoto kalowa hatari, wakati nampigia plan nmuanzaje mtoto akaleta lips, mzee nikafanya yangu mpka saa 7-8 hivi ndo tunapumzika!
Baada ya hapo ndo mtoto anaanza ooh nilikuelewa kitambo sana bla bla bla..nikawa namla yule dem karibu kila siku nikaja nikamuacha kwa sababu alikuwa hajiamin wala haniamin hata kidogo, muda wote malalamiko ooh "we chuo huko uko na waliosoma"jambo dogo tu "ooh me kwa sababu sijasoma"nikaona kero zimezidi nikampiga chini!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani number ya NIDA ndio kaifata kwako kama anakuja kubeba mzigo wa vitunguu? Punguzeni uongo basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukala kilaini mzeee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muwe mnapunguza uongo basi ....mtoto wa kike anaenda kwa mwanaume mara ya kwanza hizo confidence za kuuliza room iko wapi avue hadi baibui lake?! Mhh
 
Muwe mnapunguza uongo basi ....mtoto wa kike anaenda kwa mwanaume mara ya kwanza hizo confidence za kuuliza room iko wapi avue hadi baibui lake?! Mhh
Kwani baibui kitu gani mbn hilo vazi la kawaida sana au unadhani kila anayevaa anakuwa malaika wakati wanawake ndiyo wanayatumia ....sana kuingilia Gest [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]utapata shida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gest ndio wapi?
 
Sijazungumzia vazi la hijabu wala hiyo baibui kwa namna mlivyoielewa....nachosemea mimi ni KE unaenda kwa ME Mara ya kwanza tena ndio mmetoka kufahamiana hata siku haijapita, unafika unauliza mpaka na room ilipo ukapunguze nguo huoni hata haya?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifurahisha sana heshima kwakooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sent using i phone x πŸ™„πŸ™„ Shogaaah emu nibaki nayo rohoni 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…