Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Unaambukizwaje, jana nilipishana na mzee mmoja kababuka na alinigusa kiganjani tukipishana kariakoo.Kuna ugonjwa mpya wa mabaka mabaka umeingia unaambukizwa kwa kugusana, sasa wewe endelea na ukitibu ngozi inabakia na makovu ya mabaka mabaka unakua km umevaa Gwanda la JW
Ingiza kitu toa kitu, vivyo hivyo mpaka kinachotafutwa kipatikane.Sex ni kuchomeka na kuchomoa mkuyenge kwenye papuchi kwa kurudia rudia. Mengine ni mbwembwe tu.
Tuheshimiane usiniite mzee yule ni Mimi sema ugumu wa maisha naonekana kama mbabuUnaambukizwaje, jana nilipishana na mzee mmoja kababuka na alinigusa kiganjani tukipishana kariakoo.
Ukiguswa tu hivi na akiwa na jasho jasho unao yaan hapo utatoka mafundo fundo mauvimbe au km una kinga mwili yenye nguvu utaona unaanza kuvimba viduara vinasambaa kwa kasi ya jet na ukikuna ndio unasambaza mwisho mwili mzima utakua na huo ugonjwa sasa tiba ni dawa ya kupakaa na kumeza maana ukipakaa bila kunywa dawa vinakua hujamaliza ugonjwa kwa hio lazima upige dozi Mwezi mmoja ila ukimaliza unakua na ngozi km Gwanda la JW ni mabaka mabaka mwili mzimaUnaambukizwaje, jana nilipishana na mzee mmoja kababuka na alinigusa kiganjani tukipishana kariakoo.
Unakuta unakazana kusugua, unapambana kama unaua nyoka halafu jitu limekutolea macho tu au linakatika bila kutoa sauti yoyote.
Hapa ndipo mnapozidiwa na vitoto vitundu vya 2000s.
Asanteni. Ni asubuhi sasa twendeni tukalijenge taifa.
Jaribu kujiajili unachotakiwa ni kuthubutu pia kama umeshindwa kujiajili tafuta kazi ya kawaida, do not go for white collar jobsKweli ajira Tanzania ni changamoto
Ndio ulikuwa mitaa ya agrey na kongo mzee?Tuheshimiane usiniite mzee yule ni Mimi sema ugumu wa maisha naonekana kama mbabu
Mbona unanitisha mkuuUkiguswa tu hivi na akiwa na jasho jasho unao yaan hapo utatoka mafundo fundo mauvimbe au km una kinga mwili yenye nguvu utaona unaanza kuvimba viduara vinasambaa kwa kasi ya jet na ukikuna ndio unasambaza mwisho mwili mzima utakua na huo ugonjwa sasa tiba ni dawa ya kupakaa na kumeza maana ukipakaa bila kunywa dawa vinakua hujamaliza ugonjwa kwa hio lazima upige dozi Mwezi mmoja ila ukimaliza unakua na ngozi km Gwanda la JW ni mabaka mabaka mwili mzima
Huko nlikuwa napita pita tuNdio ulikuwa mitaa ya agrey na kongo mzee?
Ndio umebabuka hivyoHuko nlikuwa napita pita tu
Kijana hujafa hujaumbikaNdio umebabuka hivyo
Leta story yako ulivyo mgaia kidume mbususu kimasikharaMbona kumepoa ?
Unataka kumaanisha nini mkuu, nauliza kwa sababu niligusana na yule mzee.Kijana hujafa hujaumbika
OgopaMbona unanitisha mkuu
Nshaogopa, dalili zinaanza kuonekana baada ya muda gani?Ogopa
Hamna lolote mbona wazungu ndio wanafanya ngono kweli kweli na waangaliaji porno lakini maendeleo wanafanya. Sie tatizo letu ni uwoga tuu hamna loloteHalafu mtu anakuja kujiuliza kwa nini waafrika hatufanikiwi?
Yani waafrika hasa watanzania kila kukicha ni kuwaza ngono na kuzaliana kama mapanya.
Halafu tunategemea maendeleo yaje automatically.
Kwa namna hii acha wazungu watukuzwe.
Mwafrika atabaki mtu duni milele.
oladipo Restless Hustler
Usiogope kijana hamna kitakachokupata, maeneo ya mijini watu wanapeleka ndugu zao wenye changamoto za ajabu ajabu ili wakaombe Hela kwa wenye office & wapita njiaUnataka kumaanisha nini mkuu, nauliza kwa sababu niligusana na yule mzee.
Vipi limekukurupisha asububi wakati bado wataka kuliwa kimasikhara?Ona umesababisha mpk jua limeanzia saa Moja hii wakatitangu juzi linaanzaga kuwaka mchana.🤨
Sawa mkuu ila nmeshtuka sanaUsiogope kijana hamna kitakachokupata, maeneo ya mijini watu wanapeleka ndugu zao wenye changamoto za ajabu ajabu ili wakaombe Hela kwa wenye office & wapita njia