Nilivyoliwa kimasihara na member wa Jf.
Huyu alikuwa rafiki yangu tu wa jf na nje ya jf tulikuwa tunashirikiana mambo mbalimbali .
Sasa wakati nimepishana na mpenzi wangu tukagombana yeye alikuwa ndiye mshauri mkubwa kwangu .
X wangu ni mtu aliyenifanya nikose raha yani nikawa naumwa sana baada ya kutokea ugomvi maana alinitapeli pesaa kama laki 8 na huyu member wa jf alinionea huruma kwa kunipa moyo na mawazo mbalimbali.
Nakumbuka wakati mambo yote yanatokea niliomba likizo ya siku 14 nikidanganya naumwa maana kitendo cha kuachana na mpenzi wangu niliyemuamini kiliniathiri sana kisaikolojia.
Kufupisha story baada ya kupata hiyo likizo nikampigia rafiki yangu wa jf juu ya likizo na ninavyotaka kwenda sehemu kupumzisha akili.
Basi akaniambia ana safar ya Songea kikazi hivyo kama nitapendezwa niende huko nikapumzike kwa hizo siku atanichukulia room hotelin nitulie kuweka sawa akili.
Kama kawaida nikapanda gari kutoka Dom mpaka songea akanipokea vizur nikafikia hotel ya Ruhuwiko hunt club ya Songea .
Akanifikishia kwenye chumba alichofikia tukapiga story za kutosha akanipa moyo akanishauri mambo mengi sana mpaka nikawa kawaida kabisaa basi usiku akatoka akaniacha mwenyewe nikaoga nikaagiza chakula nikala nikalala .
Ilipofika saa NNE usiku akaja jaman kilichotokea hapo ni kuliwa tunda kimasihara bila hata ya mtongozo .
Baada ya hapo ikawa ni mwendo wa kulana na mahaba moto moto ndani ya siku 7.
Tunamaliza miezi 10 mpaka sasa tukikutana tunakulana kwa mahaba moto moto. Kuna siku alikuja tena Dodoma nikaenda tukakulana kama kawaida na saivi nimekuja dar nasubiria arudi huko Dubai nimpe tena tunda la kimasihara.
Najua utapita hapa ila duh wewe mkaka ni mtu wa tofauti sana una mwili fulan msafi kukumbatiwaa mtamuu nataman nikutagi ila kuna mafisi hawachelewi kukupa mazagaa ya porojo.
Demiss VEO.
Sent using
Jamii Forums mobile app