Askof Mstaafu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 924
- 4,581
Miaka kadhaa nyuma kabla sijapata ajira ya kudumu huku bandarini nilijiajiri kwenye biashara ya bodaboda.katika harakati zangu za kazi nikatokea kuzoeana na binti mmoja hivi mbichi mweupe pe sura ya kawaida kwao mambo safi ni wa kishua kiufupi hiyo ni baada ya kumpa huduma ya usafiri.baadae akachukua namba yangu kwa minajili ya pindi ahitajipo usafiri anishtue kwa kigezo eti me ni msafi nanukia pia naendesha kwa makini amependa uendeshaji wangu na mambo kadha wa kadha kama mziki na vinginevyo!
Basi ikawa aninipigia nampeleka anakoenda ananilipa fresh na sometimes ananiambia keep change (alikua vizuri kiuchumi maana anafundisha shule moja ya English medium alikua ticha huyu bibie) nikawa nimezoeleka sana pale kwao mpaka mda mwingine aniniagiza vitu nampelekea home kwao pia mama ake alinizoea nikawa nampeleka kwenye mizunguko yake na yeye.
Katika hali isiyo ya kawaida nikajikuta nimemtongoza bila kujipanga niliamini hawezi ruka kwa sababu alikua ananisifia sana mara umependeza mara dredi zako nazipenda na sifa kedekede nikajua amenielewa! Alafu kilichonipa imani ni kwamba alikua anakulana na mshikaji mmoja hivi mfanyakazi wa hiyo shule sekta ya upishi goigoi sana Levo zangu hagusi nimemwacha mbali nikajipa moyo kwamba kama yule mchizi mluga luga hapendezi kamla me ntashindwaje? Lahaula! Kumbe kila shetani na mbuyu wake mazee demu aliruka futi mia alafu akapanic kinoma na kejeli kibao mara siwezi kudate na bodaboda Tabaka LA chini nikamaindi nikakata simu akawa akinipigia sipokei kibarua kikaota nyasi
Nipo kijiweni sina hili wala lile kaja pale kanichamba sana mbele ya kadamnasi Mimi siyo levo zake ( mabinti ambao wasomi wenye vihela nadhani mnajua nyodo na maringo yao) na vitu kama hivo shombo kibao nilpata aibu ya mwaka hili tukio sipendi kulikumbuka nikamlaani laana zote. Nikampotezea maana nilmtongoza kimasihara tu hata angekataa fresh maana nilkua na mademu wengi kama mjuavyo bodaboda hawanaga demu mmoja. Ila kikubwa nilitaka kuhakikisha kama ni squirter maana mpishi wake baada ya kuachana nae alitangazia jamii kwamba demu anamwaga maji ukikulana nae kitandani utandike turubai maana kitanda kitalowa
Siku wiki zikapita siku ya siku mamake kanipigia nimfuate mahali nimpeleke nyumbani kwake. Wakati tupo safarini kuelekea home akawa amenikambatia sana akiogopa kuanguka maana alikua tungi kiasi flani sio cha kutojielewa halafu barabara ilkua mashimo kibao. Nimemfikisha kwake kaniomba nikamuwashie taa za nje saa moja na nusu usiku wakati natoka tukakutana mlangoni zero distance alivyonishika nikajua bibi mdashi ana nyege akanisukumia ndani anataka mpini nikakumbuka jinsi binti yake alivyonidhalilisha nikaona pale ndo kulipia kisasi nilmchapa nao palepale sebuleni kwenye masofa aisee nilmpelekea moto yule mama sio kwa hisia ila kwa hasira na dharau za binti yake. Shoo ilipgwa pale huku chombo yangu nimeipaki nje ya geti na funguo nimeacha nje sikujali nia yangu nilipe kisasi. Baadae maza kaleta mapenzi sana mpaka mwanae kaja kujua akanilaani na yeye na kuninunia. Nilivyomaliza kanipa elfu kumi akasema chenchi Baki nayo huku akisisitiza kwamba aninielewa kitambo nikajua kumbe ilkua janja ya yule mama lile tukio zima alikua amelipanga
Baadae nikaja sikiaga stori kwamba yule mama Mme wake alikufa kwa umeme aisee niliishi kwa mashaka sana siendi kupima nikikohoa kidogo najua tayari ukimwi huo.siku ya siku nikaumwa serious mpaka kufikia kutokujitambua bro kanipekeka hospital alinifanyia chekapu mwili mzima kanipima magonjwa kibao kanipima mpaka ukimwi kuja kupona ndo kanielekeza sina ngoma alinipima maradhi kibao.
Aisee kula tunda kimasihara kunaambatana na stress na manyanyaso yake wazee. Yangu ni hiyo tu
Sent using Jamii Forums mobile app