Ulifaidi sana Comrade 💥💥🔥🔥
 
hii imezidi matunda yote na masihara yote
 
Nakumbuka ilikuwa ni 2014 nilienda kutembelea jamaa huko Masasi, wakati narudi Dar gari letu lilichelewa sana lililokuwa linatoka nachingwea na ikabidi nianze harakati za kutafuta pisi ambayo nikataa nayo kwenye gari na kuna pisi mbili ambazo nilichagua.

Ile gari inafika tu chaguo langu la kwanza likafeli kwakuwa alikuwa na Mama yake so nikaenda kwa chaguo namba mbili.

Kwa kuogiza wema nilambebea begi lake hadi ndani ya basi, bahati ilioje, siti yangu nilikuwa peke yangu na ile pisi ilikuwa imekaa na mother mmoja aliekuwa na watoto mapacha na wasumbufu sana. Kwa ukarimu niliomuonyesha yule binti akamchukua mtoto mmoja na kuja kukaa na mimi. Nakumbuka alikuwa anaitwa Jackline na alikuwa ametoka kuchukua cheti chake cha shule na anarudi kwao Arusha.

Maongezi ya hapa na pale huku mawazo ya kula tunda yakiwa yamenitawala nikaanza kumuulizia kama ana sehemu ya kufikia kabla hajaunga basi la kwenda Arusha na akaniambia ataenda kulala buguruni guest then siku ya pili ataanza safari ya kwenda arusha. Nilimshawishi ashukie mbagala na nitampeleka kijichi kuna lodge safi sana na bei ni afodabo na alinikubalia.

Tulifika mbagala around moja unusu usiku na moja kwa moja nikaenda nae hadi mtaani kijichi, kwakuwa sikutaka taharuki mtaani niliweka begi ndani na moja kwa moja nikampeleka lodge, chumba alipata na nikamuacha hapo, around saa tatu usiku mtoto akanicheck nimpeleke sehemu akale, aisee hilo ndio lilikuwa kama kifo chake, nikampeleka sehemu wanauza pweza, nilimpigisha mchaga vyakula vya pwani then tukarudi lodge.

TUlipofika lodge, nikamuuliza kama anajua kwanini lodge wanaweka kiti kimoja au kochi la mtu mmoja, hakupata jibu, nikamwambia ni kwaajili ya shetani akae aangalie watu wake wanavyovunja amri ya sita.

NIkamwachia shetani kiti chake na kilichoendelea baada ya hapo hata shetani mwenyewe alipatwa na mshtuko, ni viuno, mshenyeto, kisses, popo kanyea mbingu, 69, na kila aina ya mt*mbo.

Mtoto Jackie alinilevya, siku ya pili nikamuomba asiondoke, nilimpekeka kariakoo nikamfanyia shooping kidogo na next day akaondoka na kwenda kwao arusha.

2020 nilienda arusha na kukutana nae, nilimkuta ana ujauzito na anaishi na mtu, nilitaka kuichapa tena ila nilisita baada ya ile kanuni ya mla vya wenzie nae vyake huliwa kunijia kichwani.

2024 alikuja Dar kikazi na alipokuja okawa kaja kikazi kweli, manake vikojoleo vilipata kazi sana ya kufanya.

Ila wazee wa kula tunda kimasikhara kumbukeni ukimwi upo so stay safe and protected na kwa mliopo kwenye ndoa kumbukeni kula tunda kimasikhara kunaweza kuleta watoto wasiotarajiwa kwenye ndoa na kupelekea kuvunja ndoa zenu.
 
Alisoma CEMU education!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…