Daah!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaaa hii ni one of the best scenarios....

Cc rikiboy popote ulipo kifungoni. Uione hii
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yesuuuuu wangu. Dah nini hiki
Sent using Jamii Forums mobile app
 
natangaza rasmi kuanzia saa huu ndio uzi rasmi wenye chai nyingi tangu kuanzishwa kwa jf mnamo mwaka 2006..aisee sikatai chai zipo ila chai za hapa za moto balaa zingine hazifai hata kunywa ila mabahria tunakunywa kibabe tukipooza kwa kutumia feni la ANIKO lenye mapanga saba tena kwa spidi ya mwisho..

chai zimezidi sana niko nawacheki tu ngoja nitulie niwaletee uji sasa ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika ni kweli, kweli kabisa.
Lakini jambo la kujifunza ni kuwatendea mema wenzi wetu kwenye ndoa, hawa wana toka sio kwa sbbya tamaa.Njaa ya faraja, amani ya moyo, inapelekea wao kufanya hivyo mimi nimekuwa mtu wa kuitikia matakwa yako.
 
Nimetoka kula tunda kimasihara, ngoja niurudishe huu mzaituni ulionipa tuna then nirudi kwenye sridi kushusha kisa kizima
Kiutaniutani tu

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Xrssxwe[emoji9][emoji9][emoji19][emoji1][emoji23][emoji42][emoji10]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…