nilicomment kuwa kwa akili hizi za wachangiaji wa uzi huu ndo maana ccm inashinda uchaguzi, comment yangu ilikuwa ya kwanza kabisa na ilipata like 230+,mods wameifuta comment yangu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa wewe bwege si kuna jukwaa la siasa huko ?mbona kuna watu vichwa maji sana humu hamuwezi kutofautisha majukwaa???
 
Kweli mkuu hata me nashangaa mabaharia wahumu walivyo na roho ngumu. Tuleni matunda kimasihara ila iwe kwatahadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh mkuu, is this real? Kweli kutoka kula kimasihara hadi mama wawili sio mchezo. Congrats!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…