Kwani wako wana nini??
Kufuta comments ni sawa na kumtukana aliyejipinda kutype.. wafanye wamachotaka nitawasha VPN nifungue ID nyingine... kwani sh ngapi??
Ni makosa kisheria kujisifu una lundo la Ids.

BTW kama una malalamiko nenda ukaanzishe uzi kwenye lile jukwaa la malalamiko ila zingatia lugha nzuri.

Ahsante.
 
Ni makosa kisheria kujisifu una lundo la Ids.

BTW kama una malalamiko nenda ukaanzishe uzi kwenye lile jukwaa la malalamiko ila zingatia lugha nzuri.

Ahsante.
Mimi sipendi kuwa na IDs nyingi .. tatizo ni wao na kupenda kutoa ban kwa makosa ya ajabu bila hata kumsikiliza mtu.. kuhusu kulalamika mimi sina shida nao tena kama wao wanashida wafungue wao thread ya malalamiko juu yangu
 
Kwa mamlaka niliyokabidhiwa nakupa ruhusa ya kwenda kufungua uzi... [emoji3][emoji3][emoji3] mwanaNjilo,
 
Ulifanikiwa kumaliza ile diploma yako NIT ambayo ulianza kusoma 2016 baada ya kushindwa kukidhi vigezo ambavyo vingekuwezeaha kwenda degree moja kwa moja?

Mr Fukunyuku kasome vzr utaelewa nilikua namuombea nani ushauri na maoni hlf yawezekana ukajijibu huko maana km umerukia treni kwa mbele kidogo[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…