Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia lugha nzuri, fuata sheria na kanuni zilizowekwa ,hutoona comment yako ikifutwa.
Mkuu itakua unatumia hizi insha kujifunza kutongoza.Kwani wako wana nini??
Kufuta comments ni sawa na kumtukana aliyejipinda kutype.. wafanye wamachotaka nitawasha VPN nifungue ID nyingine... kwani sh ngapi??
Ni makosa kisheria kujisifu una lundo la Ids.Kwani wako wana nini??
Kufuta comments ni sawa na kumtukana aliyejipinda kutype.. wafanye wamachotaka nitawasha VPN nifungue ID nyingine... kwani sh ngapi??
Mimi sipendi kuwa na IDs nyingi .. tatizo ni wao na kupenda kutoa ban kwa makosa ya ajabu bila hata kumsikiliza mtu.. kuhusu kulalamika mimi sina shida nao tena kama wao wanashida wafungue wao thread ya malalamiko juu yanguNi makosa kisheria kujisifu una lundo la Ids.
BTW kama una malalamiko nenda ukaanzishe uzi kwenye lile jukwaa la malalamiko ila zingatia lugha nzuri.
Ahsante.
Wachangiaji wa mwanzoni story zao za kweli lkn kuanzia pg 100 kuendelea chai nyingi mno.
Amina niombee t's ma timeMungu ni mwema ikawe heri kwako upate mtu sahihi na wa kuendana na wewe!
Ulifanikiwa kumaliza ile diploma yako NIT ambayo ulianza kusoma 2016 baada ya kushindwa kukidhi vigezo ambavyo vingekuwezeaha kwenda degree moja kwa moja?
Huyo dada anataka umle kimasihara bado hujamsoma tu mkuu.Mr Fukunyuku kasome vzr utaelewa nilikua namuombea nani ushauri na maoni hlf yawezekana ukajijibu huko maana km umerukia treni kwa mbele kidogo[emoji4]
[emoji23]Haoo wanakujaaNaogopa kuleta story yangu maana najua nitawanyegesha/kuwaroanisha mod alafu wanipige ban. Maana nasikia ukiwanyegesha2 ban inakuhusu
Sent using Jamii Forums mobile app