Baada ya kutoswa na mwanamke mmoja humu ndani, nkasema isiwe case maisha yaendelee. Jana nkiwa mtaa na mawazo ya kutoswa si kamvua kaanza kupiga, watu wa Daslam wanaelewa vizuri...

Katika kuangaza angaza kwa mbele nkaona binti mmoja yuko njema, kakamatia mwamvuli freshi, nkasema isiwe tabu nkaenda kujikinga na yule binti. Bila maneno akaniruhusu safari ikaendelea na mvua ikazidi, yule manzi akafika alipokuwa amepanga, mi bado safari ndefu. Nkamwomba kama inawezekana nikatulia pale mpaka mvua ikakata.

Nkakaribishwa mpaka bafuni, mara kitandani sijakaa sawa mzigo umezama najimegea tunda, sebene likapigwa kiutani utani. Na saivi napoandika nshaletewa supu ya maana na chapati zangu kadhaa (2), cuz nilijikuta tumelala wote.

Hivi nko kupoozwa machungu ya yule mwanamke kuniacha, kisa comment yangu huko nyuma ya kula tunda kimasihara, na kuwa online muda wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona mods wamefuta thread yangu, sio nilikosea wapi.
Nataka kuleta jinsi nilivyomla rafiki wa huyu binti, nilipoagizwa nimpelekee mizigo yake miezi minne baadaye, ila nina masahaka thread itafutwa tena.....sikutaja jina wala kabila sasa sijui tatizo ni nini?
 

Thank u a lot jmn[emoji5] yeah mimi ni aina ya mtu ambae hua niko free...nimeumbwa hivyo hata ikitokea nimechukia au kukwazika naongea au nalia baada ya hapo nikisema yameisha ndio yameisha....siwez kukaa na kitu rohoni ht cku 1...ndoa yetu km nyingine ina vijimakwazo kidogo ila tunajitahidi kuipa furaha pale tunapoona shida inataka kua endelevu....[emoji23][emoji23]baba chanja anaplay part kubwa sana km kichwa cha familia nashukuru kwa hilo japo ana wivu mno[emoji31][emoji31] ila all in all nashukuru Mungu kws maisha tunayoishi na asante kwa compliment[emoji1431]
 
Forget password ilikuwa suluhu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima kwako mkuu.
Nishakupata vizuri Hugo jamaa ako mtu mkubwa hebu mwambie atulegezee kidogo maana anakaza sana kwa kufwata maagizo kutoka juu.
 


Vijikwazo Kwenye ndoa haviepukiki bi shosti...sema cha muhimu ni kuchukuliana tu (I bet you know what am talking about).

Baba chanja kuwa na wivu na wewe hyo ni lazimaa yaani...hv unajijua vzuri...sidhani...nadhani baba chanja anakujua vizuri..Mimi huwa Nina jicho la rohoni..niamini wewe ni MWANAMKE....narudia MWANAMKE...naomba tu umlee baba chanja vzuri mpaka mzeeke wote...si unajua tena kwa wanandoa mara nyingi wanaotangulia kufa ni wanaume (Sijui ni usumbufu wa wanawake???Sijui)

Natamani niendelee kuandika ila ngoja niache tu. Kila la kheri Kwenye ndoa yenu jamani... Mwenyenzi Mungu awabariki sana sana sanaaaaaaaa..
 
kongore kwako mkuu
 
Jamani hi fagia fagia ya mods itaisha mpaka lini aisee kila siku tu wanafuta waache mambo ya ajabu wanakera
 
We shuka verse tu ulivomla wafute wasifute sisi mabaharia tutakuwa tumevuna experience
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nomaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmmh duh!
 
Na wewe nadhani itaishia kwenye ndoa kama baadhi ya wadau wameolewa na kuoa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawe Siku mbili ulipiga 17 mzee baba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyimbo ya yope yamponza mtu
Kama masihara kwenye sherehe ikawekwa nyimbo ya yope nilikuwa nacheza katika kucheza nilicheza hata kupita diamond na kukata kiuno kilikatika kweli kweli
Ilikuwa Usiku baada ya kuda nikafatwa na kidada moja la nguvu likinipongeza namna nilivyocheza
Muda si muda ananiambia nimsindikize kwake
Bila hiyana nikamsindikiza kufika tukaingia chumbani kwake kabla sijakaa au kutoka likaangusha Nguo zote
Anataka kucheze yope live
Kama masihara navuliwa Nguo na yope ikawa live kitandani
Yope iliwekwa ilirudiwa Mara tatu nilipiga Kiuno hadi nilitunzwa simu
Ndio hii niliotuma sms

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…