Hebu nami niweke kisa changu sema naogopa kureveal my identity. Niko skonga na marufuku kumiliki simu, mimi mbishi namiliki simu na haikosi salio, haikosi charge kwa gharama yoyote. Ukizingatia na uaminifu nilionao madogo wengi sana waliitumia kupokea mihamala na nauli zao.

Siku moja jamaa flani akaitumia kuwasiliana na manzi wa shule nyingine (girls tu). Akawa anawasiliana nae kwa muda mrefu na sometimes manzi anatext au kupiga namjibu kwa ufupi kama jamaa hayupo, sikuwa na mazoea nae kabisa. Siku nikahisi nitaonekana sio mstaarabu hebu nimpe salamu tu nikamcheki tukaongea sana, mcheshi kumbe. Alianza kuomba ushauri mara kadhaa, baadae experience zangu ktk mahusiano na ujuzi wangu ktk sex, etc. Kwakuwa niko well informed na kila kitu ukizingatia JF nimeijua kabla hata ya Form One nilikuwa nampa majibu sahihi na kuelezea vitu ambavyo hata hajui.

Baadae tukafanya paper yeye alifanya practical A mimi nilikuwa B, ile amemaliza paper akaniita tuonane na sikuwa na hela akanipa hela ndefu tu ya kulipia first class lodge. Nikamchukua tukakaa siku nzima tokea asubuhi mpaka kesho mapema akapanda basi kwenda kwao. Nilikuwa nimejipanga kwa kula karanga robo coz ilipita miezi 17 sijala tunda, siku hiyo bao moja tu lilikosa[emoji23][emoji23]. Alienda 8, 6 by penetration 2 by foreplay. Alichubuka mpaka nikaogopa sema hiyo siku nilichoka ile sijawahi ona

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
Duh!!!!
 
Aiseeee
Sent using my 6x6 bed.
 
Hii inanipa shida kujua Kama ulikula kimasihara au upiisotea. Ila baharia ulufaidi kula demu mzuri katoro yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaaa unahatari...

Boda boda mnaongoza kwa kula wake wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona umetoa code hapo. Akisoma tu anajua ushamla mke wake.
 
Nachozungumzia hapa ni habari za kuomba mchezo fasta fasta unatakiwa uwe na power ya kuzuia nyege zako la sivyo utakula ma kina ASHA NDALA NDEFU AMBAYO ALAFU UJE HAPA UJIONE UNA BAHATI
Wakati wewe unaisubiria kuna watu anawapelekea wanaitindua kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetoa code saana jamaa akipita hapa
Ni kihama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba uliloweka mzee baba?![emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hizi code mkuu uwe unatembea na wese tu mwana akipita hapa itakua vita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…