granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
Nyingine.....kuna wakati nilikuwa nafanya project Fulani Kanda ya Ziwa. Ili kukwepa gharama nikaamua Kukodi Nyumba maana project nilikuwa ya muda kidogo...basi bwana mwenyeji wangua akafiwa na mke wake basi ikabidi tuende kijijini kuzika...huko bwana nikakutana na bi Dada weka Mbali na Watoto story hapa na pale kumbe anakaa si Mbali sana na nilipopanga.
Akaniambia wakati wakurudi nipe lift basi...nikamwambia haiana shida...ila kumbe ni mke wa mtu..msiba ukaisha safari ya kurudi ikaanza ila kwenye gari Nina watu kibao...kufika town wote wakashuka tukabaki wawili tu Kwenye gari akaniambia nipelke home kwako nikapajue...nikamwambia haina shida...kufika akaniambia sishuki nipeleke kwangu...duuu nikashangaa...basi kabla hatujafika kwake akaniambia simama...nikamwambia kulikoni..akasema wapambe wengi taarifa zitafikankwa mumewe...nikmwambi poa ila kushuka hataki...nikamuuliza vp nikupeleke au...aknimbia hivi huwezi hata kuomba namba ya simu?? Ukinitaka utanipataje?nikauzuga....aaahhh nilikuwa nimesahau nipe basi...akanijia...akanipiga kibao akaniambia tabia yako sio Nzuri akaondoka.