Hahaha ni kama jamaa alikuwa anatoa story ya kukimbiza swala, akafika kwenye kumpiga ngwara swala, simu ikaita. Amemaliza kuongea na simu anauliza hivi niliishia wapi, wana wakamwambia ulimpiga ngwara. Jamaa akaendelea, nikamvua bra na chupi.... Watu wakamkumbusha mzee ni swala unaongelea!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mermer e
Sent using Jamii Forums mobile app
 
k
kataaa kubali huyu ni mke wa mtapigwa tu
 
Hahaaaa... You sir are very funny hahaaaa

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
duuhπŸ˜“πŸ˜“
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…