Kweli aisee! Kama mdada kajitoa utu wake for her mom, the guy should send the money kwa mama. It's not fair.
Kabisa mkuuu... Hii hata mimi naona sio sawa atume hata 50
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji33][emoji33][emoji33]mdada kajisacrifice atumikee lakini daah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baharia, inawezekana huyo dada alitoa utamu kwako ili kupata pesa ya kutatua changamoto alizonazo mama yake. Just make it a fair game. Tafadhali, mtumie mama hiyo pesa, au hata nusu yake. Fanya iwe win-win situation. Hii imenigusa sana.
 
Oya hapa hatujakusoma mzee baba, huyo dem umemzingua knoma alafu sio fresh wala nini. Mpe hiyo hela
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa. Amtumie huyo mama hata 50k kama hawezi hiyo 100k.
Otherwise Karma won't forget his address.

nyoka hana tako

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nyoka hana tako. Ahahahahaha
 
Nimeumia natamani huyo manzi hata nimtumieee.


Mkuu hebu tuma pesa uje utupe feedback mzee.

Ukishindwapia sema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukiwa mtu wa uvinza...yaani uvinza ikishakaa damuni....hyo kitu inakuwa involuntary action....yaani unaweza nunua hata kahaba pale corner bar ila ukajikuta umezama chumvini halafu wakati wa kumtia unatumia ndom..hahahaaaaaa.
duuh
 
Brother,, Fanya kumtumia mama wa huyo binti hiyo ela...hesabu kama moja ya mambo mema uliyoyafanya mwa huu. Haujui mama ana shida gani. Yes you f*cked her but it wasn't for her own pleasure....She was doing it for her mother...I bet she didn't enjoy the sex.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah 😓😓😓wanaweza kukuua awa viumbe aisee
 
Tuma pesa kwa mama

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mwingine unaweza ukadhani ni mama yake kumbe wana laini mbili ,

Hiyo mm ilinikuta nilikwapua demu huko badoo tumeingia room anadai hoo nyumbani kuna kikao halafu hamna mahitaji sasa nataka umtumie kwenye mpesa !

Nikamuuliza umenipa hiyo hela ya kumtumia akaanza bona uko hivyo ....basi tuache siku nyingine sasa

Nikamwambia basi poa .....ondoka akaghuna mmh njoo basi akashuka mpk sh 15000/- tuma kwanza nikatuma

Nikala mzigo halafu nikaomba kuirudisha ile hela demu ameshaondoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyo binti ulitakiwa umuoe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati naanza tu 2nd year chuo, siku moja nikaingia zangu darasani mida ya mchana naona kuna kamrembo kadogo kadogo, keupe hivi kamekaa siti ya nyuma peke yake. Huwa navipendaga sana videmu vya namna hii, inakuwaje sijawahi kuka-notice, nikasejisemea katakuwa ni container jipya [Wanaoanza chuo tulikuwa tunasema "container jipya limetema"]. Nikakaa kama rows tatu mbele yake nikafungua laptop yangu nikaanza kujisomea huku kichwani nawaza namna namng'oa huyu binti.

Nikajisemea huyu nitumie strategy ya kibaharia inaitwa "jifanye una shida, akusaidie". Nikaamua kukaachia laptop. Nikamfuata nikampa salam then nikamwambie nimeitwa na lecturer mara moja naomba uniangalizie laptop yangu. Akaniambia anaweza akaondoka muda wowote kwenda kula [Nilijua atanipa story za kuondoka hivi karibuni]. Okay, nikamwambia ngoja nikupe namba yangu, incase ukitaka kuondoka kabla sijarudi, nitafute. Akachukua namba, nikamwambia ni-beep ili ukipiga nijue ni wewe. In truth, wala sikwenda mbali, dakika tano tu nimerudi. Asante sana, tushajuana na got her number now.

Kidogo, nikamtext, "Am very sorry, umenisaidia hata jina sijakuuliza, hata kukusave nimeshindwa", akanijibu jina lake. Mimi nikamwambia, una jina zuri but mimi nakubatiza jina abc, [Lilikuwa la kifaransa maana yake pretty young thing - Baharia chukua hii trick, sio unasave mtu Sikudhani, msave pretty eyes, wanawake vitu vidogo vidogo vinawachanganya sana]. Tukaendelea kuchat pale hilo jina maana yake nini, nikamwambie it's for to find out, ame-google akafurahiiii. Moyoni nikasema amekwisha huyu.

Coincidence ikaja, kumbe anakaa na sister yake njia moja na mimi, huwa nashuka kama vituo vinne mbele yake. Nikamwambia jioni tuondoke wote, ila itabidi tu upitilize ukaone ninapoishi; halafu utarudi zako home, akakubali. Jioni hao kwenye daladala, mpaka home [nilikuwa naisha nyumba nzima peke yangu]. Kufika kashangaa nyumba kubwa upo peke yako blah blah blah, lakini mimi sikai. Nikamwambia let me cook something for you huwezi ondoka na njaa. Nikaingia kwa frigde toa mayai kadhaa na sausage, tengeneza spanish omelette yenye sausage ndani, nikamwekea mtoto mezani. Akaniuliza sasa wewe ya kwako ikwapi, nikamwambia usijali mimi nitakula baadae, this is for you baby.

Wakati anakula nikamfuata kwenye dining table, nikazunguka nyuma yake nikakata kipande kidogo, nikapitisha upande wake wa kulia nikamlisha, then nikamkiss kwenye shingo upande wa kushoto. Na yeye akarudisha favor, ila round hii tutapeana french kiss matata sana. Chakula kikawekwa pembeni, nikampandisha kwenye dining table akapigwa kimoja hapo hapo. Tukaingia bafuni, nikalamba kingine; tuakaamia chumbani nikalamba kingine. Tumemaliza, nikaona katoa simu anampigia sister yake atachelewa anaenda kwenye Birthday party ya classmate, na anaweza asirudi. Nikajisemea, mambo si ndio haya.

Kale katoto tuliendana sana, maana kanapenda mashine kama her life depends on it. Ila tulikuja kushindwana na tabia ya kuniganda sana. Siku nyingine nawaletea ya mlokole wa fesibuku
 
aiseee😂😂😂😂😂
 
Baharia, inawezekana huyo dada alitoa utamu kwako ili kupata pesa ya kutatua changamoto alizonazo mama yake. Just make it a fair game. Tahadhali, mtumie mama hiyo pesa, au hata nusu yake. Fanya iwe win-win situation. Hii imenigusa sana.
Baharia anatoroka na Laki? Hiki ni cheo kikubwa sana katika nyanja ya mahusiano msiwe mnawapa watu waoga wa maisha mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii story inafanana na muv moja ya kinaijeria inaitwa Holly sinner n balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3]Yaan ww una degree ya ubaharia tuletee hyo season ya mlokole wa fb

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…