Tatizo la pesa alilishughulikia? Au ulikalia kula papuchi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baharia umekwama sana ..manzi amekuja adi geto unamuachaje? Hii dhambi utaitetea vip mbele za muumba??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DAH hata mimi nimecheka balaa hapa .....hawezi dharau kabsaa naye anataka aendelee kufaidi hahaha Dunia na vituko
 

Nilidhani unashare chako kilivyoliwa
 
ANS wa Arsenal tuna raha sana hatuna stress hata tukifungwa tushazoea.....sasa ulijipa stress zisizo na kichwa kabisa....sasa Leo tumewafunga sijui stress zitakujia tena.....we kula tunda tu achana na Mani Yuu kufungwa kuwa kama Arsenal tu sisi maisha muruuaaa hata tukifungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…