mica capacitor
Senior Member
- Dec 20, 2019
- 182
- 203
Tatizo la pesa alilishughulikia? Au ulikalia kula papuchi tuNgoja na mimi leo niseme moja kati ya Epo kimasihara.
Kadi yangu ya bank ilizingua. Nikitoa hela hafu mashine ikasemq muhamala umekamilika, hela haijatoka ila ikakatwa.
Nikatoa tena, ikatoka ila ile ya mwanzo bado inaonekana imekatwa ila mzigo haujatoka.
Kwakua ilikua weekend nikasubiri jumanne nikaenda. Nikatoa maelezo kwa mdada flani pale reception akanipa karatasi niandike maelezo na taarifa zangu za bank.
Nikaandika kila kitu, na taarifa zote za bank na mawasiliano yangu nikaandika. Nikamkabidhi. Yule sista (ni kadogo kadogo hafu kazuri kapo simple sana) akawa anasoma alipomaliza akasema umejieleza vizuri. Aisee, nikasema tu asante madame.
Akaniambia analishughulikia, atawasiliana na mimi au nitaona hela imerudi baada ya masaa 72.
Ikapita week kimya. Nikarudi kucheki. Demu nikamkuta nikamkumbusha akasema ooh wewe ndio yule unaeandika vizuri. Tatizo lako tumelipeleka Makao Makuu ila kama bado hujaipata hela watakua wanalifanyia kazi. Akasema tucheki statement. Uzuri nilikua nimetoka kudownload siku iyo iyo E-statement kwenye simu.
Tunacheki hamna ile hela haijarudi. Sema bwana ndani ya week mbili izo kuna hela nilikua nimepewa ya kazini (kama Mil 3 hivi) kwahiyo balance inasoma Mil 3 na kidogo. Sista sijui akaniona kishua sana au kweli alipagawa na maelezo yangu au zali tu maana kama sura yangu mbovu sii body builder wala nini.
Akaniambia atalishughulikia mida wa kazi ukiisha 4:30PM atanijulisha before jioni.
Kaja nitafuta kwa namba binafsi saa 1 hivi. Tukapiga story. Tukaamia WhatsApp. Weekend akasema tuonane. Nikaoga nikajiandaa kwa lolote. Nikampitia job ile jioni tukaenda kwake. Anaishi peke yake.
Demu akapika. Tukala. Akaoga. Dah Niliogopa sana ila nikajikuta nimemla hafu dry.
Tumebaki washkaji tu tunaonana mara moja moja ila sijawahi mla tena.
Sent using Jamii Forums mobile app