Sina chakuficha, timeshare experience....
Mimi ndio nilivyo.....
Unataka nyingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwel chakula cha pamoja huleta amani!Tukiwa tumebakiza miezi 11 na siku 28 kuumaliza mwaka huu wacha nami nilete kisa cha kukula kimasikhara.
Mwaka 2016 nikapewa jukumu na ofisi niliyokuwa nikifanya kazi wakati huo nikiwa kituo cha Bukoba, nilitakiwa nikafungue tawi Arusha na hivyo nilitakiwa nirudi Mwanza ilinikawachukue staff wengine twende nao, nilifika Mwanza na kesho yake tukaanza maandalizi, siku iliyofuata asubuhi mapema nikaambiwa staff wenzangu tutakutana nao Nyegezi, nimefika nikakutana na wadada wawili mmoja wa kawaida na kengine ni kakali kweli.
Muda wa safari umefika, chuma ikanyanua, ikumbukwe mie nilikaa upande wa dereva siti ya upande wa kolido na huyu dada mkali alikaa upande wa kushoto upande wa kolido pia kwa hiyo tulikuwa tunatenganishwa na njia. Tumetembea mpaka shy ndo kunaanza kupambazuka ndo nikajionea utukufu wa Mungu, kilichonichanganya zaidi ni kuwa huyu dada alikuwa kapiga kisket flani kifupi halafu kina mpasuo wa mbele upande wa kulia (nilikokaa mie) sasa hali ile iliniweka pagumu maana ule weupe wa lile paja na ndo kilevi chetu wasukuma, nilitembea nikiwa vibaya.
Mida ya usiku wa mwanzo mwanzo tukaingia arusha tukachukua usafiri mpaka eneo tulilotakiwa kwenda na hapo maisha yakaanza, nina bahati mbaya ya kupuuza mambo sana hasa yasiyo na faida ya moja kwa moja. Tukiwa watatu boy niko mwenyewe walifanya kazi zote hadi kunifulia maana tuliishi nyumba moja. baada ya miezi mitatu yule dada mbovu akawa anaumwa mara kwa mara baada ya vipimo ikabainika ujauzito wake unashida na hapo ndo nikajua kuwa alikuwa mke wa mtu na alitakiwa arudi kwake ili awe karibu nafamilia yake
Baada ya yule dada kuondoka tukabaki mie na huyu dada mkali, ile nyumba ilikuwa maeneo ambayo hatukuwa na majirani kivile na hatukuruhusu kuzoeana sana na wale majirani. Baada ya kuwa wawili nikawa namsaidia baadhi ya kazi, ikiwa anafua ntamchotea maji, ikiwa anapika tunagawana, yeye atapika mboga mie ugali, muda wa jioni tunatoka wote tunafanya matembezi, muda mwingine tunanunua chakula huko huko na kisha tunakuja kulala,
Siku moja tumerudi tukakaa sebureni tukawa tunaangalia movie kwenye pc, tumecheki mara nikaanza kuhisi usingizi, nikamuambia wacha nikalale akakataa na kuniambia kama vipi twende chumbani kwake ili amalizie movie kisha ataniamsha nikalale chumbani kwangu, tukakubaliana hao mpaka rum, tulivyoingia nikakaa kidogo baadae nikajilaza kitandani nikapitiwa na usingizi nikaupunyua, nakuja kustuliwa na mkojo wa saa 11, wenge la usingizi, kibano cha mkojo na baridi jumlisha ramani ya rum hii ikabidi nitulie kidogo ili nivute kumbukumbu ndo nikakumbuka tukio zima. na hapo pembeni yangu yupo huyu dada, nikiwa natafakari niende bafuni au nimalizane na huyu kwanza, mdada akageukia upande wangu akanitupia mguu, nikasema hapa napiga hata kwa nguvu.
Nikainuka niende chooni, ile nainuka nikaulizwa unaenda wapi, si umalizie tu usiku hapa, nikamwambia naenda chooni, naye akainuka tukaongozana nilivyofika nikaingia, nilivyomaliza akaingia,kisha hao tukarudi kitandani, ilikuwa mwezi wa nne lile baridi kwangu mimi niliyeishi maeneo yasiyo na hali ya hewa ya vile ilikuwa ni mateso asee, tulivyopanda kitandani akasema hii baridi mbona tutakufa, nikamwambia sogea nikukumbatie tutoe baridi, mara mtoto huyu hapa, ilipigwa mechi ya kawaida ila ndefu sana mpaka tukachelewa kazini! Baadaye ndo akaniambiaga nikiwa na namsaidi na kumjali alikuwa akijisikia vizuri na alitamani tuwe wanandoa, hata ule mpago wa mie kulala kule kwake aliupanga kitambo, mpaka ulipofanikiwa kwa siku ile Baada ya hapo tuliishi kama mke na mume. Baada ya hapo maisha yalikuwa matamu sana asee.
UBARIKIWE MKE WANGU, ULINIKULA KIMASIKHARA NAMI NIKAKUOA KIMASIKHARA KWAVIAPO VYA DHATI
Hongera sana mkuu. Ulufidia maumivu ya kutapeliwa!Hii naleta nyingine,baada ya ile niliowaletea ya kumla Sister(Mtawa)
Hii ilikuwa kama miaka 10 iliyopita,kuna jamaa alikuwa tapeli sana anakaa mitaa ya Kijitonyama njia ya Sayansi unakuja kutokea huku Tandale(Nimesahau jina).Huyu jamaa alikuwa anatapeli sana wanafunzi wa vyuo vikuu akisema anawatafutia kazi ile Taasisi ya Benjamini Mkapa.
Aliwakusanya sana vijana wa IFM,Ustawi wa Jamii,UDSM na Mwalimu Nyerere.Sasa akaja akawa mademu anawala kabisa kwa ahadi ya kazi.Akaja akamla binti na kumtapeli,huyu alikuwa binti mdogo wa besti yangu,ambao nikiwa advance Familia yao ilikuwa kama ubalozi wangu,weekend naenda kula menu mpya nachana na makande.
Sasa huyu mdogo wangu wa kufukia alipopata hii deal akaniomba nimuwezeshe hela za kuhonga apate hiyo kazi.Sababu ya historia na familia yao,sikuwa na hela nikampa laptop aweke bond then akipata kazi ataikomboa,kama kweli kazi ipo.
Sasa yule jamaa akawa amejichanganya akatumia namba ya mkewe kumpigia mdogo wangu,basi na mie kwa tahadhari nikachukua ile namba ya mkewe nikahifadhi in case of anything.Basi jamaa akaiteka ile laptonga,wakati huo hakukuwa na mambo ya mpesa,tigopesa etc...baada ya siku kadhaa nikaona ngoja nitoe hela tuikomboe then tusubiri job.
Baada ya muda wa siku kadhaa jamaa hakupatikana hewani,kumpigia mkewe hajui lolote juu ya utapeli wa jamaa.Basi nikaona isiwe tabu.Nikaanza kumsumbua mkewe mwisho na yeye akazima simu...baadae akapotea kabisa hewani.Nikamtafuta sanaaa wapiii.
Nikahesabu maumivu,nshaliwa na mdogo wangu akakubali matokeo.Baada kama ya maka na ushee,siku moja nikakumbuka ule upigwaji maana nilikuwa nakumbua sana.Nikawa siku hiyo napita maeneo ya ile niia ya sayansi naenda gereji kwa mate wangu.Nikakumbuka tukio then nikapekua ile namba kubeep inaita,nikasema ngoja ntautafuta baadae.
Nimekaa jioni,naona simu inaingia mwanamke anasema nilimbeep,nikamwambia atulie nitampigia...basi kesho yake nikajikoki nikampigia tukaongea sana najifanya namjua na aliwahi nipa namba tulikutana mitaa ya Dar Carnival...kumbe zuga tu.Nikamseti yule mwanamke mpaka akaniamini...
Basi nikawa nachati naye namzuga kuwa nipo Zenji kikazi.Kanambia ukirudi njoo na zawadi.Unaataka nini?Yupo tende na madela...akataka zawadi simple tu.Basi tukawa tunaongea as if tumewahi onana...lakina akawa bado ana hamu anione.
Siku hiyo nikampanga kuwa kesho narudi toka Zenji,tukutane Sinza,akanambia tuonane Hongera Bar...basi nikaenda K'koo nikanunua tende msikiti wa kwa Mtoro,then nikaingia kwenye madela.
Kufika Hongera Bar nikaagiza mguu wa mbuzi...nasubiria,sasa ajabu kumbe mwanamke kakaa meza jirani,sbb hanijui na mie simjui tukawa tunasubiriana.Wakati mi nilimwambia namjua ha ha ha ha....Nimekaa 1/2 saa,nikaamua kupiga,mtu hapokei n yeye anataka mpaka aone jamaa anayempigia...akawa anaangaza...baadae kama machale yakanicheza,nikaandika msg,"Yaani nimekutega nimekaa pembeni yako hapa hata hupokei?"
Nikaona mtu anasoma msg anasoma anacheka,anahamia meza yangu...basi akawa kastuka kuwa hii sura mpya,basi mie nikawa nampigisha story,lkn naona kabisa hanijui ila hana namna...kumuuliza jamaa yake yupo wapi?akasema yupo mkoa
Basi mpigisha bia pale na nyama,akaanza kulewa,ile miti ya miarobaini pale Hongera Bar ikaanza kutupa giza.Ila mwanamke alikuwa bonge sanaa...Savanah zikaanza kumlevya mie napitisha tu kidole,ika akawa anasema mbona mie sikukumbukiiiii....basi mie namsoundisha napotezea hilo swali..Around saa mbili hivi akasema akawacheki watoto aone wamekula na kuoga amuachie dada wa kazi...akakaa kama dakika45,akarudi...tukachukua bajaji mpaka mitaa ya kwa Charls Hilaly ndanindani kuna Guest...nikapiga sana mashine
Wanawake bonge wana maji na nyege hao...basi nikala kama zaidi ya mara tatu..akaanza kujenga mazoea,mara jamaa hamtombi vizuri,mambo kibaooo...siku jamaa akakuta msg ya mwanamke kaniandikia...akachukua simu kanipiga sana biti.
Baadae jamaa akawa anatumia namba yake sasa kunipiga biti kuwa akinidaka atanitafuna,nikaona huyu analeta masihara,siku nikampandia hewani...nikamwambia we fala sana,nimeanza na mkeo kumtafuna,unafuata wewe...na nimeshajua unapokaa...nimekutafuta sanaa...Wewe si ulitapeli watu kwa gia ya kutafutia kazi ukadhani mabaharia tumesahau,sasa jiandae nakuja kukupasulia yai
Basi toka hapo jamaa akapotea kabisa hewani na mkewe akapotea kabisaa hewani kama wamekufa....Baadae sana nilikuja kukutana na mkewe Mlimani City,hii ni story ya siku nyingine.
Sasa jinsi nilivyomla huyu mke wa tapeli wetu,huwa naona kama nilimla kimasihara tu...Nawasilisha
nilimtongoza...ndio maana nikawa jasiri, wa kumwandikia meseji kuwa aje tusherehekee mwaka mpya...
Sina chakuficha, timeshare experience....
Mimi ndio nilivyo.....
Unataka nyingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliahidi kuleta stori ya dada wa CPA jana ila sasa shemeji yenu alikuwa hachezi mbali na mimi nikakosa muda wa kuandika.
Miaka kadhaa nyuma nilihudhuria send off mitaa ya Sinza.
Nilikaa meza moja na dada ambaye alikuwa peke yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uzi unasema ulishawai kula tunda ki masihara?
Napenda kuwakumbusha wadau wote mliokula tunda kimasihara na mnaoendelea kula ya kwamba hali ni mbaya kiupande wenu ipo siku mtakuja kulipiziwa na nyie kwa dada zenu , shangazi zenu na mama zenu na bibi zenu mtakuja kushangaa una dada yako mtu mzima lakin anatembea na mtu umemzidi kila kitu kumbe analipa deni la uzinifu alilotenda kaka yake na kudai alikula kimasihara.tena mnaokula kimasihara utakuja kushangaa ww ulitumia gharama kidogo hata ya lodge lakin dada yako anakuja kufanyiwa machafu bureeeee bila hata cent moja.chunga sana acha kula tunda kimasihara oa kijana mwenzangu wanawake ni wengi kuliko wanaume tuache kuwapa stress hawa viumbe.
Note....
Kila mla cha mwenzake na chake kitaliwa
Naomba kuwasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uzi unasema ulishawai kula tunda ki masihara?
Napenda kuwakumbusha wadau wote mliokula tunda kimasihara na mnaoendelea kula ya kwamba hali ni mbaya kiupande wenu ipo siku mtakuja kulipiziwa na nyie kwa dada zenu , shangazi zenu na mama zenu na bibi zenu mtakuja kushangaa una dada yako mtu mzima lakin anatembea na mtu umemzidi kila kitu kumbe analipa deni la uzinifu alilotenda kaka yake na kudai alikula kimasihara.tena mnaokula kimasihara utakuja kushangaa ww ulitumia gharama kidogo hata ya lodge lakin dada yako anakuja kufanyiwa machafu bureeeee bila hata cent moja.chunga sana acha kula tunda kimasihara oa kijana mwenzangu wanawake ni wengi kuliko wanaume tuache kuwapa stress hawa viumbe.
Note....
Kila mla cha mwenzake na chake kitaliwa
Naomba kuwasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani kweli niandike ila mke wangu yupo humu daily anapitia hii thread.Usiwe kama kabanga aliyekuja na id yake.
Njoo na fekero.
We huoni waala kimasihara wote ni id unpopular?
Watu wamekuja kivingine ila ni wale wale.
Sent using Jamii Forums mobile app
tumia code mkuu usiweke mifano halisi kama mkoa wa mwanza weka shinyanga sisi tunataka kula tunda tu mengine baki nayoNatamani kweli niandike ila mke wangu yupo humu daily anapitia hii thread.
Kuja na new ID nafikiria
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani kweli niandike ila mke wangu yupo humu daily anapitia hii thread.
Kuja na new ID nafikiria
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu nitaletatumia code mkuu usiweke mifano halisi kama mkoa wa mwanza weka shinyanga sisi tunataka kula tunda tu mengine baki nayo