Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Wagalatia na mabinti wa KO kama mgonjwa na uji...,nilipataga wangu pia kutoka KO,kuna jamaa nilikuwa nakaa naye cube moja pale chai,yeye alienda kwenye graduation akaniletea namba,tulikuwa tunaongea usiku kucha na hatujawahi kuonana, siku nimemaliza form six nkakutana naye Dar, alikuwa mrembo ila sio sana...., mambo mengine yaliendelea ila now she's married....I miss you F.
Mgalatia [emoji1373][emoji1373][emoji1373] nakubali
 
Balaaaa saaana nyinyi senzy saaana. Lile li cube lenu lilikuwa la mabraza meni sasa hao jamaa wengi mdio walikuwa wanamiliki mademu sita sita sisi wengine hata connections hatukuwa nazo
Wagalatia na mabinti wa KO kama mgonjwa na uji...,nilipataga wangu pia kutoka KO,kuna jamaa nilikuwa nakaa naye cube moja pale chai,yeye alienda kwenye graduation akaniletea namba,tulikuwa tunaongea usiku kucha na hatujawahi kuonana, siku nimemaliza form six nkakutana naye Dar, alikuwa mrembo ila sio sana...., mambo mengine yaliendelea ila now she's married....I miss you F.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom