I bet hapa itakuwa ni MAKAMBAKO.
 
Tareh za mwisho wa mwez wakikalibia mwezin au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani uliloweka kavu kavu kwa barmaid, kuna lijamaa langu nalo fara kweli limekula barmaid kavu kavu sasa hivi lipo kwenye dozi ya kutibu gono
Pombe jumlisha genye, unapiga tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]...ila wakuu tujihadhari tu asee[emoji23][emoji119]

Mimi nimewahi kupiga Barmaid kavukavu kisa pombe miezi mitano iliyopita [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji134][emoji22].

Natamani kupima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]...lakini tatizo moyo...hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I
Kikwetu hii unajimaliza mwenyewe kwa mana unaimaliza familia yako .
Ndugu wa mkeo tena tumbo moja ni mwiko mkubwa sana na laana itakuandamana
According to who?
Kwahiyo jambo likiwa mwiko kwenu unahisi ni mwiko kwa kila mtu?! Unaabudu mizimu 😂

Haya wewe ambaye hujaandamwa na laana maisha yanaendaje 🤣🤣🤣🤣
 
Verifier,
Dah,sijajua wewe upo upande gani,kama utakuwa ni muislamu mathna inakuhusu,
 

Nilihis ndio atakuwa mkeo mna historia nzur sana ya kuvutia ila ndio hivyo
 
ikawaje mwisho wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nguo zakoo ni Nani atavaaa we
Watoto wako ni nani atalea we
Ogopa ukimwi, ukimwi hauna dawaa
Hicho ni kiitikio cha wimbo fulani miaka hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…