Ulishawahi kula tunda kimasihara?
I
Kikwetu hii unajimaliza mwenyewe kwa mana unaimaliza familia yako .
Ndugu wa mkeo tena tumbo moja ni mwiko mkubwa sana na laana itakuandamana
Eti kikwetu [emoji1787][emoji1787] kwa hiyo huko kwenu ndio mnapangia watu waishi vipi? Nonsense

Waabudu mizimu ndio mnaamini haya masuala ya laana na blah blah nyingi.

Endelea kuishi katika mikono ya wafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku kadhaa za nyuma niliibiwa kiasi fulani cha pesa kikubwa tu, baada ya kuzitafuta bila mafanikio ikabidi nifikirie kwenda kwa mganga nione kama anaweza kunisaidia!

Basi bwana hayawi hayawi yakawa hatimaye,
Mara paap nikampata jamaa mmoja yeye anamfahamu mganga na akanihaidi kunipeleka. Tukakubaliana fresh, siku ya Jumatatu nikampitia jamaa mida kama ya saa nne asubuhi tukaanza safari kuelekea kwa mtaalamu.

Tukaenda nje ya jiji la Mwanza kuelekea Sengerema. Tukaenda mpaka tukafika eneo husika.

Kwa mganga tulikuta ni nyumba kubwa tu nzuri, inavutia na ina geti. Tukafungua geti tukachoma ndani.

Kuingia ndani tukamkuata mtoto mdogo tu wa kike nahisi alikuwa ni mtoto wa mtaalamu japo sikupata uhakika. Tukapiga hodi huku tukiwa ndani ya geti akatukaribisha tuingie sebuleni lakini aliyetukaribisha alikuwa ni mwanamke na sauti ilitokea chumbani.

Basi kama kawa tukaingia sebuleni tukaanza kumsubiri.

Mara paaap! akatoka ndani mwanamke mzuri nilimkadilia umri ni wastani wa 35 - 38. Yule mwanamke alikuwa mzuri body kali amepanda juu kinoma.

Alikuwa amevaa kitenge tu jamani ndani hamna kitu, halafu juu amevyaa kitambaa cheusi yaani kimefunika matiti tu na kimezunguka hadi mgongoni.

Tuakaanza kuongea nae pale, akaniambia niingie kwenye chumba kingine.

Kile chumba nilichoingia kilikuwa kitupu kabisa kuna mkeka tu pamoja na stuli ndogo na baadhi ya makorokoro yake

Tukaingia chumbani mimi nikakaa kwenye mkeka yeye akakaa kwenye stuli.

La haula alivyokaa kwenye stuli akawa ameshikilia ile khanga ameichomeka katikati ya mapaja yaani mapaja yote unayaangalia kifua chote.

Daaah! Mwanaume akili yote ikafyatuka mwili ukasisimka mzuka ukapanda.

Yeye amekomaa kuchanganya vidawa vyake mimi mshipa umeshanisimama sielewi chochote.

Basi akatengeneza vitu vyake akamaliza akanipa dawa nikamuachia hela pale; nilitaka nimguse paja kidogo nikaona ngoja nitulie kwanza, nikajitutumua nikamuomba namba za simu naye hakusita akanipa.

Sasa basi usiku uleule wa Jumatatu nikampigia kwakweli nilimueleza kila kitu kuwa kwake nimezimika sijiwezi tena. Nikaona response yake, akawa anahisi masihara mara oooh acha utani. Nikasema yeeeees hapa hapa!

Sasa jana nimemuibukia kwake majira ya saa tisa mchana. Nimekaakaa pale story mbili tatu, nikamsogelea karibu. Aisee kimasihara tu mganga jana nimemla mzigo!

Jioni kama saa moja kasoro nikapanda zangu feri nikarudi mjini.

Sasa usiku akaanza mazoea na vimeseji vya ajabu.

Leo pia asubuhi kanitumia sms kuniuliza nimelalaje. Yaani hapa najiandaa leo nikalaleko kabisa. Mganga ni mtamu jamani!

Ngoja nipige kazi fasta jioni niwahi feri niendako leo nalalako kabisa, nataka nimkomeshe
 
Yani mganga anakuuliza umelalaje wakati alitakiwa ajue? Tena mmeshaunganisha spirits alitakiwa kama mganga kweli awe anaona kila kinachoendelea kwako.

Alafu huyo mganga huenda ni mbibi ama jini ila kajigeuza mmama mzuuuri ili akupate tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unforgetable
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]waganga wa kibongo nuksi
Yani mganga anakuuliza umelalaje wakati alitakiwa ajue? Tena mmeshaunganisha spirits alitakiwa kama mganga kweli awe anaona kila kinachoendelea kwako.

Alafu huyo mganga huenda ni mbibi ama jini ila kajigeuza mmama mzuuuri ili akupate tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unforgetable
 
Umesha nasa wewe

kutoka kwenye huo mtego si kazi rahisi,umefunga ndoa na shetani,hivi unafkiri shetani anaachika? jipange mzee kama ulikua unataka kuonja tu ujue majini hayaonjeshwi.

pole tena pole sana
mh mbona mi naona yupo simple tu kawaida mkuu?
 
Back
Top Bottom