Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Kweli mzee saiv ni kama hakuna beki wala kipa golini la kipa yupo bhasi ni kindoki
Mwaka mmoja nilikuwa Shinyanga mjini,kwenye bar moja maarufu sana maeneo ya Kambarage,pembeni ya ile bar palikuwa na duka la Mwarabu,alikuwa akiuza chachacha,katambuga na mashuka ya kisukuma(walikuwa wanavaa wasukuma wa Maganzo na eneo la Shinyanga lote miaka ya nyuma),shanga za wanaume na wanawake wa kisukuma pamoja na sukari guru.

Yule Mwarabu alikuwa ana eneo la duka pia kwenye kijiji cha Maganzo,nje kidogo ya mji wa Mwadui...Kwa hiyo nilimfahamu sababu alikuwa maarufu na pale Maganzo hasa siku za mnada wa Maganzo.Wakati huo mimi na rafiki yangu ambaye ni marehemu sasa,alikuwa Kapten wa ndege za Mwadui(ntataja wajihi tu bila jina).Alikuwa shombeshombe,alizaliwa na Baba wa Kigiriki na Mama wa Kihehe huko Iringa,Mama yake alikuwa House girl tu wa Mgiriki,bahati nzuri akapendeza akiwa anafanya kazi kwa Mgiriki,basi mgiriki akazaa naye,kutunza ndoa yake akawa amemuondoa pale kwake,ila alimtunza mwanae(best yangu) mpaka akaja kuwa rubani.

Huyu Mwarabu wa Maganzo/Kambarage alituzoea sana,maana tulipokuwa tuna trip ya Mwadui tulienda pale Maganzo au Shinyanga mjini siku za weekend na Pigeot 504 yetu,tukapata mambo yetu na kurudi Mgodini kupitia njia ya Shy-bush,Utemini kutokea geti dogo.

Huyu Mwarabu alikuwa mkali sana,anafokea wateja ovyoovyo,hasa wasukuma wakiuliza bei ya vitu zaidi ya mara moja alikuwa anawafukuza "toka-toka" mpaka akapewa jina la "Toka-toka".Wakati huo makazi yetu ilikuwa Dsm na Mwadui.

Weekend moja tupo pale Kambarage,tunapata maji ya mende,tukiwa jirani na duka la mwarabu tokatoka.Tukiwa bado vijana tu wenye utimamu juu na chini.Yule Mwarabu alikuwa ana watoto wazuri sanaaa,lakini hawatoki nje.Ni mara chache sana kuwaona.Na hawa Waarabu walikuwa wanaoana wao kwa wao,wanapeana wake.Utakuta mwarabu wa Shinyanga anaoa Mwarabu wa Tinde,au wa Tinde anaenda kuoa Mwarabu wa Nzega,wa Nzega anaenda kuoa Mwarabu wa Mpanda kwa kina mbunge Kessy Mabodi.Kwa hiyo wanajuana mpaka waliopo Dsm.

Jioni ile yule tokatoka akapokea simu ya mezani toka Dsm kuwa mke wake kafiwa na baba yake Dsm,na mazishi watafanya kesho baada ya sala ya Alasiri.Huyu mkewe alimuoa kwenye familia moja hapo Ilala Dsm.Kwa hiyo alitakiwa kufika Dsm kesho yake na kwa usafiri wa wakati huo,angekaa njiani karibu siku 3 ili kufika Dsm.

Ukawa mtihani kwelikweli.Mara pale tukaona "Toka toka" anafunga maduka yake mapema na taarifa ni kuwa kafiwa na mkwewe Dsm,wakati huo msiba wa jirani ni kama msiba wa mji mzima.Na pale tulipokuwa tunakunywa na jamaa yangu(R.I.P) ikabidi pafungwe sbb ya ule msiba.Basi wakaweka turubai na sisi na bia zetu kichwani tukakaa pale kuomboleza.

Mjadala ikawa mke wa Toka-toka na mabinti zake na mwenyewe mzee waende msibani Dsm.Lakini kwa usafiri wa kipindi kile ambao ni treni kwa uhakika wasingewahi.Hivyo ikawa mtihani...Sasa sisi tulikuwa na trip yetu,kutoa almasi 'ghafi' Mwadui kuipeleka Iringa kiwanda cha Tun-Cut ikafanyiwe mambo,lakini mara nyingi tukibeba basi tunapitia na Dsm then tunaweza lala au kurudi Mwadui.

Kwa hiyo nikamwambia jamaa yangu tuwasaidie hawa watu,tuwape lifti,tuchukue wawili wenye umuhimu,wengine watapanda gari moshi kwenda kuhani msiba.Basi tukafikisha wazo lile kwa wananzengo pale,mzee Toka toka hakuamini,akasema sababu ya umuhimu,basi atangulie Mama na binti mmoja mkubwa(hapa ndio kosa la kiufundi lilipoanzia).

Bila kuchelewa tukawasha Pegeot 504 yetu tukwabeba kwenda na mgodini ili mapema asubuhi tuje nao Dsm,mle mgodini kulikuwa na "Rest House",tukawatafutia pale wakala na kunywa wakalala.Kuangalia "Mayfly" ya kesho ya abiria,tukakuta bado kuna nafasi moja,jamaa yangu alikuwa muungwana,akasema washa gari tukambebe na mzee.Kufika kule Mwarabu akasema itabidi aende binti wa pili,yeye atakuja na treni.Kwa hiyo akawa Mama na mabinti wawili wakubwa.Warembo wa kiarabu,wanavutia sana kwa wakati ule.

It was their first time to experience a flying moment.Basi tulitoka pale mpaka Nduli Iringa,wenye mali yao wakashusha,then tukaenda Dsm.Majira ya saa tano hivi tupo Dsm...Tukaenda nao mpaka msibani na mambo yakaisha.

Tukawaambia wasubirie ndani ya week kutakuwa na nafasi kurudi Shinyanga tutawabeba,basi wakati wa kurudi ilikuwa kama baada ya mwezi hivi toka msiba.Tulifika majira ya jioni,na kuanza safari na 504 kwenda Shy town ikawa uchovu.

So wakalala pale ili asubuhi waende nje ya geti wapande Rand lover warudi kwao.Sasa huu usiku ndio ukawa na balaa sana.Tumekaa pale tumekula,mama yao akaenda kulala,na jamaa yangu akaenda kupumzika,mimi nikabaki na mmoja kati ya wale wawili.Alikuwa msichana mrembo sana kwa miaka ile...wakati huo kwa kweli ili umpate msichana atakuzungusha hataiezi sita.Na kwa kweli ile haiba ya Kiislamu na yale malezi ya ndani yule msichana alikuwa na aibu sana lkn pia alikuwa ndio siku anataka kujaribu.Maana alijua ndio nafasi na akiikosa pale akirudi nyumbani ni kufungiwa ndani.

Kila nikiaga naenda kulala anasema tuendelee kuongea,basi tuliongea pale mpaka saa saba usiku...kumbe ni kama walishaongea na mama yake kuwa jibane hapo,utaolewa umri ushafika.Basi nikasema sasa naenda kupumzika,mwanamke kwa ujasiri akasema twaenda wote,nikidhani anaenda kwake chumbani.

Naingia kwangu(Maana nasi tulikuwa tukiishi Rest house kwa wale waliowahi ishi kule wanajua) naona mwanamke mgongoni,basi mie nikaingia nikawasha taa,paja maji,naye nikamwambia akaoge lkn ana aibu sana maana ana haiba za kidini.Baadae tumelala kitanda kimoja,naye kalala ila kageuka hukooo,tena kalala na gagulo.Kuwasha taa naona mtoto mweupe sanaaa...Ujana ule nikashindwa kuvumilia,nikaanza purukushani,kila nikiingia nashindwa,jaribu sanaa...kumbe alikuwa ajaguswa,akawa anaumia sana.Mpaka kunakucha ni bilabila,mpira haujapenya wavuni.

Majira ya saa moja nikabadiri mbinu,huku na kule mara tayari.Kazi ikaenda pale mpaka saa tatu muda wa chai.Japo alilalamika sana maumivu.Ule mchezo Bi mkubwa wale kila kitu.Kwa hiyo toka hapo akawa anafanya mbinu nikienda Mwadui anakuja mgodini nafanya mambo.Najaribu kuweka codes sababu mwisho wa siku nilizaa naye,japo dini ilileta utata kuoana,nikachukua mtoto na yeye akaja kuolewa na mwarabu mmoja wa Kahama.

Nadhani kwa enzi zetu za ugumu wa kutongoza na kupewa tunda,hii ilikuwa ni moja kati ya tukio la kupewa tunda kimasihara,maana ilikuwa ngumu kupewa tendo na mwanamke kwa just usiku mmoja kama ilivyo leo.Ninaposoma visa vya vijana wa leo,naona kama wanapewa tunda kirahisi sana mpaka wanapoteza uwezo na ujasiri wa kutongoza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story kama hizi bwana.... Kama vile nasoma chombezo la Irene mwamfupe ndauka
Kwa mara nyingine tena

Mwaka 017 mwez wa nane ilikuwa siku ya birthday yang nilipigwa pichakali sana nikaitupiaga whtsp status watu wakaichukua wakaiweka sanaa huko whatsap basi bana mara inaingia namba ngeni inanitext kuniwish birthday mhh kama kawaida mwanaume hapa lazma uchangamke sana tukachat sana ndo akanambia ameona rafik yake ameniwish ndo akaomba namba zangu alisema alikuwa amenifananisha sikujal na sikutaka kujua hayo basi tulichat nikamuomba picha akagoma kutuma kabisa nikipiga video call anakata huku akidai nitamuona tu sikuyoyoyte hakuwa ameweka dp yake aliweka dp ya maua tu basi bwana mwisho wa siku nikamuuliza uko wap akasema yupo kwake alikuwa chuo mwaka wa 3

Nikamwambia naomba zawad hujui mm mtto leo akanambia njoo chukua kama mnavyojua kauli kama hiz sisi wanaume tunazipenda sana nilikomalia hapa hapa mwisho wasiku tukakubaliana kwamba nitaenda hapo ilikuwa mida ya saa aba mchana

nilikusudia kuanza safari usiku ili nipate kisingizio cha kulala

Mida ya saa 2 usiku ndo namwambia nipo kweny gari alianza kulalama kuwa ametembelewa na rafik yake na mm nikamuuliza wakike au shem akasema wakike nikamwambia haina tatizo mbona alafu nikatoka online nikafika kituo alicho nambia nikampigia simu akaniunganisha na boda boda anafaham kwake

Boda alikuja akanipeleka kwake nikafika pale nikawakuta sasa nikashindwa kujua yupi ni yupi maana wote walikuwa wamevaa kinyumban yan wamejifunga kanga duhh mbaya zaid wote wakawa wananikaribisha sasa nikashindwa kujua nan mwenyej

Kati yao mmoja alikuwa na kamzigo kakubwa ila sura ilikuwa mbovu na alikuwa na machunusi usoni yule mwingine alikuwa flati ila alikuwa na baby face dahh nikawa nishapata mtihani tulipiga story mara nashangaa kitimoto inaletwa pale (katika charting tulifahamiana mpaka madheebu yetu ya din) ilikuja kitimoto kama kilo mbili iv na ndizi na dompo na soda wao wanatumia dompo so walileta soda eti alidhan mm situmii na aliogopa kuniuliza kumbe mm ndo mlevi mkubwa nikaingia mfukon tukaagiza dompo ingine tulianza kula story kula story na kunywa dompo nilikuwa mjanja sana Ile siku nilikuwa na wajazia wao tu ili iwachukule basi yule mwenye mzigoo mkubwa aliamka kwenda choon nikasikia kishindo kumbe dompo ilishamchukua kuingia namkuta kafungua kanga yupo na chupi duhh nikamsaidia pale akakojoa akajisafisha nilianza kashkash mule choon mtto akarespond nilimshikisha ndoo nikampa dozi sikuuza mechi kweny walet natembeaga na zana zangu nilimpiga akashindwa vumilia alianza piga zile kelele mlango ulianza kugongwa nikaacha kupiga shoo nikavua zana tukatoka

Yule rafik yake alihis kitu ila akawa kama kakausha tu nae akaenda choon ile nimemsindikiza kwa macho akanionesha ishara ya kuniita nikaenda kufika nae akaomba nimpe nilicho mpa rafik ake nilianza kashkash pale nikavaa zana nilimpa shoo nzur sana ndo pale niligundua huyu ndo niliekuwa na chat nae ali squty pale tukatoka kwenda chumban kuingia chumban tunamkuta yule ypo kama alivyo zaliwa amelala ahhh nikapunguza nguo na mm tukaendeleza shoo kweny sofa piga sana tukahamia kitandan piga sana shoo yule nae akashutuka nikaendeleza shoo sikumbuk ilikuaje ila baadae niligundua sina condom sasa sikumbuk ilitokaje nilimwaga sana ile siku niliwapiga wakalala kama wafu niliwah kuondoka ile asubuh basi ikabak story tu coz alipo maliza chuo aliondoka dar na kurud huko kwao na ndo tulipopotezeana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa uboya wangu uko wapi mkuu embu nieleweshe labda naweza kukupa sababu za mimi kufanya hivyo, ila ki uhalisia mimi si boya kama unavyodhani
Ok wewe sio boya. Kibinaadamu wewe unaona ni sahihi kumjibu mtu hivyo.? Una kipi kinachokutia kiburi hadi unajibu mwenzio hivyo? Unapungukiwa nini ukiwa humble?
Au umeamua kudanganya ila haupo hivo?
Na unadanganya hvo kwa faida ipi?
Sipendi watu wanaojiona au kujibu wanavyoona wao inafaa.
 
kuna vitu kadhaa wa kadha vilivyonifanya nijibu hivyo mkuu. je ungependa nikupe sababu? ki uhalisia mimi nipo humble sana lakini pia nabadilika dakika sifuri tuu nnapoona dalili za hatari Mkuu.. hii leo baada ya kusepa niliongea nae kama sikosei saa 8 nilimpigia na nikamueleza kwann nilimjibu vile, amenielewa.
 
Inawezekana isiwe chai pia...kisa kama ili nilishakishuhudia sehemu.

Tulikuwa tupo tunafanya Kazi Fulani sehemu Fulani kwa muda kidogo tulikaa sehemu hyo. Sasa siku moja tupo tunapata masanga akaja Jamaa Fulani na demu wake..sehemu tuliyofikia kilikuwa ni lodge na bar. Basi driver Wetu akawa amemtamani kishenzi yule demu akatuambia huyu demu Lazima nimle..Kila mtu akashangaa...huyu vipi???

Basi bwana baada ya muda yule demu akawa kama pombe zimemuingia maana walikaa Mesa karibu na sisi. Akawa anaenda uhani Mara kwa Mara, driver akasema hapa hapa namaliza mchezo. Akaruambia nilivyomsoma Huyu demu nikimpa buku kumi hachomoi, basi demu ananyanyuka kwenda chooni driver na yeye akafuata nyuma hapo ni kama SAA Mbili hv. Kilichofuata Jamaa yake na yule demu alisubiria kama nusu SAA demu harudi..anaenda kumwangalia chooni...hayupo..akarudi akaanza kuleta Fuji.unasema demu wake kaibiwa kwa hyo Anataka kusearch lodge mzima chumba baada ya chumba..Muhudumu wa lodge akamwambia haiwezekani..baadae walinzi wa lodge wakaitwa Jamaa akatolewa kwa njee. Yule demu alilala na driver...ile ishu tulivheka sana asubuhi...na demu akawa demu wa driver kwa muda wote tuliokaa pale ila ilibidi tuame lodge driver asije akatolewa koromeo na jamaa .
Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka mmoja nilikuwa Shinyanga mjini,kwenye bar moja maarufu sana maeneo ya Kambarage,pembeni ya ile bar palikuwa na duka la Mwarabu,alikuwa akiuza chachacha,katambuga na mashuka ya kisukuma(walikuwa wanavaa wasukuma wa Maganzo na eneo la Shinyanga lote miaka ya nyuma),shanga za wanaume na wanawake wa kisukuma pamoja na sukari guru.

Yule Mwarabu alikuwa ana eneo la duka pia kwenye kijiji cha Maganzo,nje kidogo ya mji wa Mwadui...Kwa hiyo nilimfahamu sababu alikuwa maarufu na pale Maganzo hasa siku za mnada wa Maganzo.Wakati huo mimi na rafiki yangu ambaye ni marehemu sasa,alikuwa Kapten wa ndege za Mwadui(ntataja wajihi tu bila jina).Alikuwa shombeshombe,alizaliwa na Baba wa Kigiriki na Mama wa Kihehe huko Iringa,Mama yake alikuwa House girl tu wa Mgiriki,bahati nzuri akapendeza akiwa anafanya kazi kwa Mgiriki,basi mgiriki akazaa naye,kutunza ndoa yake akawa amemuondoa pale kwake,ila alimtunza mwanae(best yangu) mpaka akaja kuwa rubani.

Huyu Mwarabu wa Maganzo/Kambarage alituzoea sana,maana tulipokuwa tuna trip ya Mwadui tulienda pale Maganzo au Shinyanga mjini siku za weekend na Pigeot 504 yetu,tukapata mambo yetu na kurudi Mgodini kupitia njia ya Shy-bush,Utemini kutokea geti dogo.

Huyu Mwarabu alikuwa mkali sana,anafokea wateja ovyoovyo,hasa wasukuma wakiuliza bei ya vitu zaidi ya mara moja alikuwa anawafukuza "toka-toka" mpaka akapewa jina la "Toka-toka".Wakati huo makazi yetu ilikuwa Dsm na Mwadui.

Weekend moja tupo pale Kambarage,tunapata maji ya mende,tukiwa jirani na duka la mwarabu tokatoka.Tukiwa bado vijana tu wenye utimamu juu na chini.Yule Mwarabu alikuwa ana watoto wazuri sanaaa,lakini hawatoki nje.Ni mara chache sana kuwaona.Na hawa Waarabu walikuwa wanaoana wao kwa wao,wanapeana wake.Utakuta mwarabu wa Shinyanga anaoa Mwarabu wa Tinde,au wa Tinde anaenda kuoa Mwarabu wa Nzega,wa Nzega anaenda kuoa Mwarabu wa Mpanda kwa kina mbunge Kessy Mabodi.Kwa hiyo wanajuana mpaka waliopo Dsm.

Jioni ile yule tokatoka akapokea simu ya mezani toka Dsm kuwa mke wake kafiwa na baba yake Dsm,na mazishi watafanya kesho baada ya sala ya Alasiri.Huyu mkewe alimuoa kwenye familia moja hapo Ilala Dsm.Kwa hiyo alitakiwa kufika Dsm kesho yake na kwa usafiri wa wakati huo,angekaa njiani karibu siku 3 ili kufika Dsm.

Ukawa mtihani kwelikweli.Mara pale tukaona "Toka toka" anafunga maduka yake mapema na taarifa ni kuwa kafiwa na mkwewe Dsm,wakati huo msiba wa jirani ni kama msiba wa mji mzima.Na pale tulipokuwa tunakunywa na jamaa yangu(R.I.P) ikabidi pafungwe sbb ya ule msiba.Basi wakaweka turubai na sisi na bia zetu kichwani tukakaa pale kuomboleza.

Mjadala ikawa mke wa Toka-toka na mabinti zake na mwenyewe mzee waende msibani Dsm.Lakini kwa usafiri wa kipindi kile ambao ni treni kwa uhakika wasingewahi.Hivyo ikawa mtihani...Sasa sisi tulikuwa na trip yetu,kutoa almasi 'ghafi' Mwadui kuipeleka Iringa kiwanda cha Tun-Cut ikafanyiwe mambo,lakini mara nyingi tukibeba basi tunapitia na Dsm then tunaweza lala au kurudi Mwadui.

Kwa hiyo nikamwambia jamaa yangu tuwasaidie hawa watu,tuwape lifti,tuchukue wawili wenye umuhimu,wengine watapanda gari moshi kwenda kuhani msiba.Basi tukafikisha wazo lile kwa wananzengo pale,mzee Toka toka hakuamini,akasema sababu ya umuhimu,basi atangulie Mama na binti mmoja mkubwa(hapa ndio kosa la kiufundi lilipoanzia).

Bila kuchelewa tukawasha Pegeot 504 yetu tukwabeba kwenda na mgodini ili mapema asubuhi tuje nao Dsm,mle mgodini kulikuwa na "Rest House",tukawatafutia pale wakala na kunywa wakalala.Kuangalia "Mayfly" ya kesho ya abiria,tukakuta bado kuna nafasi moja,jamaa yangu alikuwa muungwana,akasema washa gari tukambebe na mzee.Kufika kule Mwarabu akasema itabidi aende binti wa pili,yeye atakuja na treni.Kwa hiyo akawa Mama na mabinti wawili wakubwa.Warembo wa kiarabu,wanavutia sana kwa wakati ule.

It was their first time to experience a flying moment.Basi tulitoka pale mpaka Nduli Iringa,wenye mali yao wakashusha,then tukaenda Dsm.Majira ya saa tano hivi tupo Dsm...Tukaenda nao mpaka msibani na mambo yakaisha.

Tukawaambia wasubirie ndani ya week kutakuwa na nafasi kurudi Shinyanga tutawabeba,basi wakati wa kurudi ilikuwa kama baada ya mwezi hivi toka msiba.Tulifika majira ya jioni,na kuanza safari na 504 kwenda Shy town ikawa uchovu.

So wakalala pale ili asubuhi waende nje ya geti wapande Rand lover warudi kwao.Sasa huu usiku ndio ukawa na balaa sana.Tumekaa pale tumekula,mama yao akaenda kulala,na jamaa yangu akaenda kupumzika,mimi nikabaki na mmoja kati ya wale wawili.Alikuwa msichana mrembo sana kwa miaka ile...wakati huo kwa kweli ili umpate msichana atakuzungusha hataiezi sita.Na kwa kweli ile haiba ya Kiislamu na yale malezi ya ndani yule msichana alikuwa na aibu sana lkn pia alikuwa ndio siku anataka kujaribu.Maana alijua ndio nafasi na akiikosa pale akirudi nyumbani ni kufungiwa ndani.

Kila nikiaga naenda kulala anasema tuendelee kuongea,basi tuliongea pale mpaka saa saba usiku...kumbe ni kama walishaongea na mama yake kuwa jibane hapo,utaolewa umri ushafika.Basi nikasema sasa naenda kupumzika,mwanamke kwa ujasiri akasema twaenda wote,nikidhani anaenda kwake chumbani.

Naingia kwangu(Maana nasi tulikuwa tukiishi Rest house kwa wale waliowahi ishi kule wanajua) naona mwanamke mgongoni,basi mie nikaingia nikawasha taa,paja maji,naye nikamwambia akaoge lkn ana aibu sana maana ana haiba za kidini.Baadae tumelala kitanda kimoja,naye kalala ila kageuka hukooo,tena kalala na gagulo.Kuwasha taa naona mtoto mweupe sanaaa...Ujana ule nikashindwa kuvumilia,nikaanza purukushani,kila nikiingia nashindwa,jaribu sanaa...kumbe alikuwa ajaguswa,akawa anaumia sana.Mpaka kunakucha ni bilabila,mpira haujapenya wavuni.

Majira ya saa moja nikabadiri mbinu,huku na kule mara tayari.Kazi ikaenda pale mpaka saa tatu muda wa chai.Japo alilalamika sana maumivu.Ule mchezo Bi mkubwa wale kila kitu.Kwa hiyo toka hapo akawa anafanya mbinu nikienda Mwadui anakuja mgodini nafanya mambo.Najaribu kuweka codes sababu mwisho wa siku nilizaa naye,japo dini ilileta utata kuoana,nikachukua mtoto na yeye akaja kuolewa na mwarabu mmoja wa Kahama.

Nadhani kwa enzi zetu za ugumu wa kutongoza na kupewa tunda,hii ilikuwa ni moja kati ya tukio la kupewa tunda kimasihara,maana ilikuwa ngumu kupewa tendo na mwanamke kwa just usiku mmoja kama ilivyo leo.Ninaposoma visa vya vijana wa leo,naona kama wanapewa tunda kirahisi sana mpaka wanapoteza uwezo na ujasiri wa kutongoza.
barafu maeneo gani hapo nyuma ya kambale usawa wa geti lenye vyoo, huku soko mjinga
 
Nlienda kwa mshua kupumzika baada ya kumaliza form six __ years ago.

Mshua alikuwa anamiliki bar yenye ukumbi mkubwa ndani yake, baada ya kukaa kama wiki hatimaye nikapata rafiki, tulizoeana sana kwa kuwa alikuwa anatumwa sana na mzee ktk ufataji wa bear na pombe nyingine kalikali,, wakatokea majamaa ya kitaa yenye mziki mzito, wakanifata wakanipa wazo aisee 1kush kwa nn ktk bar ya mzee wako tusipige mziki alafu tukaweka kiingilio mlangani? Nikawajibu ngoja nikamshirikishe mshua,

Kiukweli mzee alikubali lengo letu, akasema hizo pesa utakazopata zitakusaidia ktk mambo yako, kimoyo moyo nikasema good,

Ile siku yakaanza matangazo "kutakuwa na mziki mnene ktk bar ya mzee _____, kiingilio Tsh X ila Ladies free,,, [emoji23],,

Ila nikawaza je watu watakuja kweli na kujaa?

Ile kufika mida ya saa mbili watu wakaanza kusogea eneo la tukio hahahaha,, watoto wakali kishenzi [emoji23] , nikasema kimoyo moyo leo nitatoka kapa kweli?!

Ikabidi nikae mlangani kupokea malipo ya wateja wetu,, hadi kufikia saa sita ukumbi ukawa umefurika kabisa hahaha,, ile pesa tukagawana pasu pasu na wale jamaa wa mziki,

Nikaenda Oga alafu nikarudi kitozi yaaani kinyangema zaidi hahaha, nikamwambia mzee tupe ruhusa tupige hadi saa Tisa usiku,, mzee akasema ni wewe tu hata mkitaka kukesha nyie kesheni tu,, mzee ni Askari[emoji23][emoji16][emoji3] ulinzi ulikuwa wa kutosha,

Basi nikaingia ukumbini alafu nikaenda kwa dj nikamwambia naomba na mm nipige ngoma kadhaa,, basi nikakabidhiwa matambo, nami nikaanza kuwanyanyua watu na midundo mikali [emoji3],, baada ya kama nusu saa ivi yule rafiki yangu akaniambia kuna binti amekuelewa,, ohoooooo nikasema yupo huyo? Mara nikaletewa pombe[emoji3], nikamwambia mtoe nje alafu na mm nakuja,, nlivofika nje sikuamini macho yangu baada kukutano na mtoto mmoja mwenye nyama nyingi chini ya kiunoni,,, maneno hayakuwa mengi, nikamwambia baada mziki kuisha usiondoke unisubiri,

Baada ya kufunga mziki nikaenda kuchakata mzgo,,

Basi akawa mzigo wangu mazima kwa kipindi kile,.

Hujala kimasihara wala

Sawa,
 
Back
Top Bottom