Kweli mzee saiv ni kama hakuna beki wala kipa golini la kipa yupo bhasi ni kindoki
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story kama hizi bwana.... Kama vile nasoma chombezo la Irene mwamfupe ndauka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa uboya wangu uko wapi mkuu embu nieleweshe labda naweza kukupa sababu za mimi kufanya hivyo, ila ki uhalisia mimi si boya kama unavyodhani
Ok wewe sio boya. Kibinaadamu wewe unaona ni sahihi kumjibu mtu hivyo.? Una kipi kinachokutia kiburi hadi unajibu mwenzio hivyo? Unapungukiwa nini ukiwa humble?
Au umeamua kudanganya ila haupo hivo?
Na unadanganya hvo kwa faida ipi?
Sipendi watu wanaojiona au kujibu wanavyoona wao inafaa.
 
kuna vitu kadhaa wa kadha vilivyonifanya nijibu hivyo mkuu. je ungependa nikupe sababu? ki uhalisia mimi nipo humble sana lakini pia nabadilika dakika sifuri tuu nnapoona dalili za hatari Mkuu.. hii leo baada ya kusepa niliongea nae kama sikosei saa 8 nilimpigia na nikamueleza kwann nilimjibu vile, amenielewa.
 
Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
barafu maeneo gani hapo nyuma ya kambale usawa wa geti lenye vyoo, huku soko mjinga
 
Nlienda kwa mshua kupumzika baada ya kumaliza form six __ years ago.

Mshua alikuwa anamiliki bar yenye ukumbi mkubwa ndani yake, baada ya kukaa kama wiki hatimaye nikapata rafiki, tulizoeana sana kwa kuwa alikuwa anatumwa sana na mzee ktk ufataji wa bear na pombe nyingine kalikali,, wakatokea majamaa ya kitaa yenye mziki mzito, wakanifata wakanipa wazo aisee 1kush kwa nn ktk bar ya mzee wako tusipige mziki alafu tukaweka kiingilio mlangani? Nikawajibu ngoja nikamshirikishe mshua,

Kiukweli mzee alikubali lengo letu, akasema hizo pesa utakazopata zitakusaidia ktk mambo yako, kimoyo moyo nikasema good,

Ile siku yakaanza matangazo "kutakuwa na mziki mnene ktk bar ya mzee _____, kiingilio Tsh X ila Ladies free,,, [emoji23],,

Ila nikawaza je watu watakuja kweli na kujaa?

Ile kufika mida ya saa mbili watu wakaanza kusogea eneo la tukio hahahaha,, watoto wakali kishenzi [emoji23] , nikasema kimoyo moyo leo nitatoka kapa kweli?!

Ikabidi nikae mlangani kupokea malipo ya wateja wetu,, hadi kufikia saa sita ukumbi ukawa umefurika kabisa hahaha,, ile pesa tukagawana pasu pasu na wale jamaa wa mziki,

Nikaenda Oga alafu nikarudi kitozi yaaani kinyangema zaidi hahaha, nikamwambia mzee tupe ruhusa tupige hadi saa Tisa usiku,, mzee akasema ni wewe tu hata mkitaka kukesha nyie kesheni tu,, mzee ni Askari[emoji23][emoji16][emoji3] ulinzi ulikuwa wa kutosha,

Basi nikaingia ukumbini alafu nikaenda kwa dj nikamwambia naomba na mm nipige ngoma kadhaa,, basi nikakabidhiwa matambo, nami nikaanza kuwanyanyua watu na midundo mikali [emoji3],, baada ya kama nusu saa ivi yule rafiki yangu akaniambia kuna binti amekuelewa,, ohoooooo nikasema yupo huyo? Mara nikaletewa pombe[emoji3], nikamwambia mtoe nje alafu na mm nakuja,, nlivofika nje sikuamini macho yangu baada kukutano na mtoto mmoja mwenye nyama nyingi chini ya kiunoni,,, maneno hayakuwa mengi, nikamwambia baada mziki kuisha usiondoke unisubiri,

Baada ya kufunga mziki nikaenda kuchakata mzgo,,

Basi akawa mzigo wangu mazima kwa kipindi kile,.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujala kimasihara wala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…