Siku moja natoka dar kwenda bariadi, nikapanda mabasi ya mwanza nikiwa na target nidrop shinyanga then nichukue magari ya dar bariadi. Basi bwa mida ya saa nne hivi tukawa shinyanga. Wakati tunakaribia shy, kuna dada seat ya nyuma akawa aanaulizia magari ya kwenda maswa jinsi ya kufanya connection, nikamwelekeza nikamwambia mm pia nashuka shy naelekea bariadi, basi nilivoshuka sikumwona nikachukua bajaj ya kunisogeza stend ya allys, Gari ya kwanza ya bariadi allys ikaja imejaa balaa wakawa hawapakizi abiria, tukaambiwa tusubiri simiyu express. Nikawa nimejiambia ikifika saa tano naenda zangu kulala. Mara paaap huyu hapa akaniona akanikumbuka akaja kukaa karibu yangu. Story za hapa na pale. Mi huwa naogopa sana kuaibika, ama kuaibishwa ama kuonekana mshenzi so huwa siwezi kutongoza mwanamke nilokutana naye siku hiyohiyo. Ila kwa mwonekano mdada alikuwa keshanielewa. Tukaulizia gari ya simiyu tukaambiwa imeharibikia igunga. Nikamwambia mi naenda kulala, km vipi twende, akakubali nikachukua usafiri hadi gest. Mdada alikuwa na mdogo wake wakiume na hana hela ya gest. Ikabidi achukue room moja walale wote, nikaskut inakuwaje nimwambie aje alale kwangu. Nikamwambia mhudumu ampe room yake akalala. Asubuhi akanigongea tukachukua usafiri yy akatetemka maswa, but nlibadilishana naye namba. Basi bwana mm baada ya siku 4 nikaondoka kwenda musoma nikiwa musoma nikamwambia akasema ndo kwao so atakuja kusalimia. Siku moja nikamwalika lunch hukohuko nikaomba uzazi akanitunuku, safari ya dar nikamsindikiza. Siku hizi kila nikija dar mashalllah huwa siwi mpweke full kula kipochi cha manyoya
Sent using
Jamii Forums mobile app