Kila mtu ananyota yake, uli- force kutemebelea nyota ya mshikaji..
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku moja natoka dar kwenda bariadi, nikapanda mabasi ya mwanza nikiwa na target nidrop shinyanga then nichukue magari ya dar bariadi. Basi bwa mida ya saa nne hivi tukawa shinyanga. Wakati tunakaribia shy, kuna dada seat ya nyuma akawa aanaulizia magari ya kwenda maswa jinsi ya kufanya connection, nikamwelekeza nikamwambia mm pia nashuka shy naelekea bariadi, basi nilivoshuka sikumwona nikachukua bajaj ya kunisogeza stend ya allys, Gari ya kwanza ya bariadi allys ikaja imejaa balaa wakawa hawapakizi abiria, tukaambiwa tusubiri simiyu express. Nikawa nimejiambia ikifika saa tano naenda zangu kulala. Mara paaap huyu hapa akaniona akanikumbuka akaja kukaa karibu yangu. Story za hapa na pale. Mi huwa naogopa sana kuaibika, ama kuaibishwa ama kuonekana mshenzi so huwa siwezi kutongoza mwanamke nilokutana naye siku hiyohiyo. Ila kwa mwonekano mdada alikuwa keshanielewa. Tukaulizia gari ya simiyu tukaambiwa imeharibikia igunga. Nikamwambia mi naenda kulala, km vipi twende, akakubali nikachukua usafiri hadi gest. Mdada alikuwa na mdogo wake wakiume na hana hela ya gest. Ikabidi achukue room moja walale wote, nikaskut inakuwaje nimwambie aje alale kwangu. Nikamwambia mhudumu ampe room yake akalala. Asubuhi akanigongea tukachukua usafiri yy akatetemka maswa, but nlibadilishana naye namba. Basi bwana mm baada ya siku 4 nikaondoka kwenda musoma nikiwa musoma nikamwambia akasema ndo kwao so atakuja kusalimia. Siku moja nikamwalika lunch hukohuko nikaomba uzazi akanitunuku, safari ya dar nikamsindikiza. Siku hizi kila nikija dar mashalllah huwa siwi mpweke full kula kipochi cha manyoya
Sent using Jamii Forums mobile app
Reaction yake (time to see the symptons of uti) varies with the type of microbe(vijidudu) ulivyokutana navto (viko tofauti tofauti). Hizi symptons zinaanza kuonekana kuanzia siku mbili mpk siku nane..Aisee..Thanks for knowledge.
Sasa chief na reaction yake ndio iko fasta namna hiyoo??
Wala.. basi tu nakuja poteza muda..
Natamaana kwa masihara sipati.
Haaaaa 😂 naona umejiandaa kwamapambanoThibitisha kama huo ulikua ni mwaliko maalumu
Humu siwezi kuhadithia labda pm..
Mwepesi tu huyo kiumbe. Hoja zake ni zile zileHaaaaa 😂 naona umejiandaa kwamapambano
Duh 😷 naogopa akipita tena hapaMwepesi tu huyo kiumbe. Hoja zake ni zile zile
I could dispute that.
Mkuu U.T.I haiambukizwi kwa njia ya se*x hata kidogo. Unaweza ukawa ulipata hiyo u.t.i kwasababu ya uchafu wa damu ya period. Ila kitaalamu u.t.i haiwezi kuambukizwa kwa njia ya kujamiana. U can only get u.t.i if u do an*al se*x au kwa mwanamke km mwanaume anaweka finger au di*ck yake kwa an*al then anaitumbukiza tena kwny uke wake.
Nawasilisha
Nafikiri tuweke vigezo.... Ni factors gani zinakuwa considered ili demu awe ameliwa kimasihara... maana naona stori nyingine hapa zinaenda nje ya kula kimasihara....
Mwepesi tu huyo kiumbe. Hoja zake ni zile zile
Unaweza kabisa. Anza na Bombardier kwanza..Kumbe kama hela haitoshi itabidi niwe nakata economy halafu nacheki nafasi kule business class naenda kukaa,sindiyo boss?
Dah una mke alafu humjui kuliko economy..Katika hali halisi kwenye vyoo bya ndege huwezifanya ujinga huo, kwanza huwa vipo jirani sana na abiria maana hakuna nafasi kubwa ilobakia kati ya choo na watu. Pili alikosa nn business akaja kajamba nani labda vyoo vya business sijawahi safiri na hilo daraja yawezekana mlifanyia huko. Ila economy boss naijua kuliko mke wangu tafuta uongo mwingine. Halafu watu weupe sio wazembe kama unavyofikiri. And wanajua wafrica wote ss ni wagonjwa hawezikupa papuchi kizembe hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app