One of the great stories
 
LIJENDARI HUYU JAMAA
 
Toa location; inaonekana tumepishana humuhumu toka jana

God save us
 
Naombeni mtu a quote hyo comment ya kula tunda kwenye ndege plz

Sent using Jamii Forums mobile app

 
Hivi kwamfano wadau wahuu uzi tukiamua kufanya maandamano itakuwaje? Au wanatutafutia sababu watupige mkongoto mpaka tuchakae
Mi huu uzi niliacha kuupitia zaidi ya mwezi hivi unakaribia post 4000, juzi trh 9 nauridia nakuta kuanzia post 2300 sijazipitia wakati nshasoma zote na baadhi ya stori zangu hazipo tena, dah! Wamezingua asee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…