Ulishawahi kula tunda kimasihara?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu ulikula kondoo wa BWANA huna hata aibu....vp ulikata utepe au ulikuta ushawahiwa na wajanja
Hao mapadri wanajimegea sana, nna dada angu wa uko nilikua namla tukiwa wadogo aliniambia stori zao nyingi za huko, pia kuna kipindi huyo dada angu alikujaa kwa sherehe moja kijijini kwetu padri wa parokia ya kule kijijini akawa anamzonga sana adi akataka amrudishe binti parokiani kwake, ndio akaniambia kamdanganya ili asubuhi nimrudishe mimi mapemaa akija akute ashaondoka... Ndio njiani wakati namrudisha akawa ananipa stori za huko,

Kufika maeneo flani baada ya kupita mwika nkapaki gari nkaomba tukumbushie akataka kuleta mambo ya dhambi mi nshamrukia saa nyingi, alivyolegea tukahamia siti ya nyuma nkala mzigo km dk 40 hivi kunaanza kupambazuka maana tulitoka saa 11 tukaendelea na safari, wala hakukua na kizuizi nkajua tu kuna padri anateleza nae...
Kumhoji ndio akafunguka aliwahi mara moja tu nkabaki najichekea kimoyomoyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaza sijui nije kivingine maana siku NNE zilizopita nimekula runda la kimataifa kinasihara

God save us
 
Huu uzi ni wa kuheshimu sana na usione watu wanahadithia huku wamekula kimasihara ukajua ni watu wadogo..... kuna waheshimiwa pia wamemwagika stori humu...

Unaweza kukuta mtu ameweka stori huku alikula kimasihara huku huko 90+ akampa mtoto mimba na ww unakomenti... kumbe ww ndio ulizaliwa na aliyekula kimasihara ni mdingi wako....
 
Comment ya sku hii

Kubabake....we jamaaa unawaza nini???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi ni wa kuheshimu sana na usione watu wanahadithia huku wamekula kimasihara ukajua ni watu wadogo..... kuna waheshimiwa pia wamemwagika stori humu...

Unaweza kukuta mtu ameweka stori huku alikula kimasihara huku huko 90+ akampa mtoto mimba na ww unakomenti... kumbe ww ndio ulizaliwa na aliyekula kimasihara ni mdingi wako....
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Vijana mnazingua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sumbai, Hahahaha nikajua enzi zile za Magamba Boyz( Gambian Bulls) dah hapo ni St. Marry Mazinde Juu au Kifungilo Girls.....dah sema nilikua Padre! Ila nilikua naishi maisha mazuri sana, Mimi kikristo changu kilikua kizuri kwahio nilikua napewa sukari, mikate, blueband na mavitu kibao ili niwaandikie Love Letters kwenda kwa mademu zao Kifungilo na Mazinde Juu....

Yaani hadi Cards nilikua naaminiwa napewa pesa naenda kununua naandika ninayoyajua kisha napost huko huko! Jama a wakija wanafurahi sana.

Siku moja mshkaji akanizingua, nikasema wala sina haraka, nitalipiza tu! Akajifanya kusahau basi siku ya siku akanituma ninunue kadi nzuri kama kawaida kisha niitume....

nikaenda nikanunua Kadi imeandikwa "If you think I miss you, you are wrong, I miss you only when I think of you"!!! Yule mchaga kikristo hakikua kinapanda vizuri sana, basi akawa na mashaka na Yale maneno ila nikamdanganya kuwa Yale maneno ni Babu kubwa, ngoma tukaituma Kifungilo Girls hhahaahaha naomba niiishie hapa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom