Hahaha mnanifurahisha.

Mimi nilikuwa ndani sebuleni kipindi bado sijaweka fensi kwa nyumba .

Hapo nachemsha chai while navuta sigara .
Aisee kama zari naona manzi kakaa kwa kibalaza nachart na simu + kuongea ongea.

Kidume nikakohoa kidogo mara manzi kageuka kuangalia dirisha,,nikamuuliza vipi mambo mtoto akaitikia tu poa basi sikuchelewa sana nikamwambia karibu ndani ....hahaha mtoto akagoma mara vijiswali eti ooh hapa kumbe unaishi mtu .

Basi bana

Nikamwambia karibu bana nipo alone njoo tupige story.

Mtoto chap akaniambia ok fungua mlango Aisee wacha tu

Alipoingia tu alinikuta na kibukta na kaushi nakula sigara tu marapaaa nikaanza kumwelekeza kidogokidogo mtoto akanielewa ....

Nikampeleka room na kuanza kazi denda sipigagi kwa ajili ya usalama so nikamtafuna moja chap .

Cha kushangaza baada ya siku moja akanicheki tena eti oooh sijawahi kukunjwa vile so naomba nije tu.


Mpaka now nikihitaji tu namcheck nachapa .

But now NO .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukaanza kumweleleza kidogokidogo kuvuta sigara au kufanya nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe Huu uzi watu wanaandika bila codes ndo maana waume zao wanajua.

Wakuu jitahidini msifunguke sana, kuna jinga moja limesema mpaka aliyemla sasa yupo south africa wakati mama wa watu alishamwambia japo amempa ila analinda heshima yake.

Kwann mabaharia wana akili za kitoto hivi? Kuna mpuuzi huko nyuma ametaja ofisi anayopatikana aliyeliwa, akataja mpaka mtaa na nyumba aliyoingizwa na huyo mke wa mtu huko Arusha mumewe akiwa hayupo.

Tukio la miaka mingi nyuma linakuja vunja familia na kusababisha mauaji.

Hizi ni akili za nzi kucheza na mavi, angekuwa na akili angetengeneza asali.
 
kuna mtu ameuawa?
 
Hahahaa watu wanatoa codes ila sio wote wengi naona ni ngumu kuziunganisha mfano Bavaria amefunguka ila sio rahis mtu kung'amua labda yule alieliwa ndo atakumbuka akisoma
Codes mbaya ni namba majina kamili picha.location kamili
 
Ulitoa lock ya side ria ipi akati hakua amevaa??[emoji3166][emoji3166][emoji3166]
Hakuwa amevaa kwenye party, zile areola zilikuwa visible kwelkwel. Wakati wa kulala ndo alikuwa kavaa! Hata pichu ilolowa ile hakuivaa alipoondoka kesho yake, alikuwa na nyngne. Iko kama vle alijua hatorudi that night au labda alikuwa na plans nyngne baada ya ile party. Hilo cwez jua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichogundua kupitia uzi huu ni wanawake wakali (wazuri sana) ndio wanaliwa sana kimasihara, kila ushuhuda utasikia ‘demu mkali balaa’ nikamla.... acha sisi tuendelee na haya mabungo ambayo yataka moyo kuyaimbisha.
Kwani mwanamke mkali/mzuri yupoje?
Kwani tuna kipimo sawa Cha kupima mwanamke mzuri/mkali?!

Anaweza kuwa mkali kwako na asiwe mkali kwa mwingine 😀.
 
Kabisaaaa. Inabidi kutokuweka details nyingi sana za demu, location ulokutana nae, ulipolia tunda, na hata mwaka/mwezi. Ingawa twasimuliana hapa, lkn "a gentleman never kisses and tells". Na kama akiamua kusema hapaswi kutoa identity ya demu husika, haijalishi ni nani. Na sanasana wake za watu, madem wa masela, coworkers, n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madness, you cannot enjoy such sex, lazima ajisafishe kwanza, otherwise ulikula uchafu tu
 
Basi wewe ndo uliliwa kimasihara
 
yan huyo utamwita mlokole.......? ana ulizia geto lako lilipo? ana ahidi kuja geto? ana acha ibada anakuja nje kucheza na wewe ambae sio mlokole......? anaingia lodge chumbani na wewe huku nyuma kawaacha wenzake wanaendelea na ibada?


hapo mlikutana wazinzi mkuu, sema yeye alikua kichakani na wewe ulikua ambiasi...... wote ni wazinzi! hakuna mlokole atafanya hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuja bila sidiria

Badae ukatoa. Lock ya sidiria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mzee kumbe mambo ya ndege una uzoefu nayo kitambo........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…