Kwenda zako huko.

Waache mabaharia wajimwaye mwaye.

Kupangiana namna ya kuandika umeanza lini???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wameshaenda Shinyanga kuuliza Mzee Tokatoka ili wampate barafu wa Jf...ha ha ha ha ha!Kumbe tumewatangulia maili mia mbele!!Ukoo wa tokatoka wameukuta ila hawapati connection!!Awamu ya viwanda
Pole sana. Niliposoma stori yako nilipata wasiwasi huu. Niliamini 'watu wasiojulikana' wataweza kujua 'barafu' ni nan. Kumbe ulikuwa mjanja zaidi kuweka codes za kuwapoteza. Ndo nchi yetu hiyo.
 
Wanaume wa kileo wamekosa mwelekeo sijui wamekunywa kileo cha wapi kila iitwapo leo akili zao ni kama za vitoto vya kileo!
 
Ahhahahahahha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

KakaJambazi dada yako kaliwa kimasihara huku!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…