Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Kula tunda kimasihara huhitaji kutusimulia hadi style eti nikalamba nikainua miguu bla blah, we tupe tu scenario namna gani ulimpata mengine baki nayo.... Mikito Mikito et al mnatuchosha tu.

Big up Am the One, umeelezea vema sana.... tupate mfano wako.
Kwenda zako huko.

Waache mabaharia wajimwaye mwaye.

Kupangiana namna ya kuandika umeanza lini???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wameshaenda Shinyanga kuuliza Mzee Tokatoka ili wampate barafu wa Jf...ha ha ha ha ha!Kumbe tumewatangulia maili mia mbele!!Ukoo wa tokatoka wameukuta ila hawapati connection!!Awamu ya viwanda
Pole sana. Niliposoma stori yako nilipata wasiwasi huu. Niliamini 'watu wasiojulikana' wataweza kujua 'barafu' ni nan. Kumbe ulikuwa mjanja zaidi kuweka codes za kuwapoteza. Ndo nchi yetu hiyo.
 
Wanaume wa kileo wamekosa mwelekeo sijui wamekunywa kileo cha wapi kila iitwapo leo akili zao ni kama za vitoto vya kileo!
 
Nisipotoa ya kwangu itakuwa sijatendea haki watasomaji.

Nilienda Mtwara kikazi, wakati narudi nilifika Dar usiku mida ya sa tano hivi maana nilichelewa kutoka kule. Kwasababu huwa sipendi kusumbua watu usiku nikasema nisiende kwa jamaa au ndugu yeyote isipokuwa nitafute lodge nilale kesho niendelee na safari yangu ya Mwanza.

Nikaenda mitaa ya riverside nikaanza kusaka lodge, kila ninayoingia imejaa. Nilizunguka kama dakika 30 hivi, hatimaye nikafika lodge moja hivi napo palikuwa pamejaa. Ile lodge ina bar pia. Mhudumu mmoja akajitolea kunisaidia kutafta lodge za jirani, napo juhudi zilionekana kukwama lakini hakuniacha peke yangu.

Nilitembea nae kama nusu saa hivi tunazunguka lakini lodge zilikuwaa zimejaa. Wakati tunazunguka na yule dada Moyoni nikaanza kuwaza huyu dada anamoyo mzuri sana, ameacha gori na anapigiwa simu arudi lakini anawaambia siwezi kumuacha mteja peke yake hadi nimsaidie. Kama vipi nitatest kimasihara.

Basi akasema ngoja nikupeleke lodge moja hivi ila sio nzuri sana je uko tayari? Nikamwambia poa ila nisipopapenda ninaenda kulala kwako. Akasema hana kwake maana anaishi kwa dada yake. Kweli tukafika ile lodge tukakuta vyumba viwili self moja na single moja, nikachukua self. Pale lodge nilikuwa mhuhudumu mdada inocent hivi ambapo alibadili kabisa upepo wa kumuwazia yule mhudumu wa bar.

Alivoondoka yule aliyenipeleka pale, nikawaza ngoja nitest kwa mhudumu wa pale lodge nione kama kimasihara inafanya kazi.

Yule mhudumu wa pale lodge alikuwa mshamba mshamba flani kama vile ametoka leo mkoani. Kasuka tatu kichwa kajifunga na kanga zake vizuri. Nikajisemea kuwa huyu atakuwa anajiheshimu jinsi alivyo alivyo. Nikatoka chumbani nikamfuata receiption nikamuomba namba, akanipatia. Nilivoingia tu chumbani nikampigia nikamwambia kama vipi njoo unipe kampani naogopa kulala peke yangu. Akasema hapana siwezi maana nipo kazini. Nikamwambia saivi usiku hakunna mteja anaakuja we njo tulale. Akasitasita saaana lakini badae akasema poa ila nakuja na kondomu. Nikasema poa. Baada ya dakika kumi akaja tukaoga then nikala mzigo hadi sa kumi asubuhi.

Kilichonifanya nimtest yule dada ni huu uzi. Nilijisemea ngoja nitest kama inafanya kazi, nashangaa dada kaingia laini.

Alaniwe aliyeanzisha uzi huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahhahahahahha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AMKENI AMKENI NIMELUDI TENA


HII ILITOKEA MWAKA JANA NILIOGOPA KUILETA HAPA ITAONEKANA NI CHAI LKN NI KWELI KABISA NI KWELI NI KWELI

NOTE : STORY YA KUTISHA KIDOGO

JINSI NILIVYOKULA JAMBAZI LA KIKE KIMASIHARA
NDIO JAMBAZI LA KIKE

ILI kuwa mwaka Jana 12/6/ kutokana na kazi yangu ninayofanya nimekuwa MTU wa kusafiri safari sana mikoa mbali mbali na nchi za jirani
Tukio hili mpaka leo hata Mimi nashindwa kulielewa kabisa ya sijui ni nini kilitokea siku ile
Tukiwa safarini kuelekea mkoani ruvuma kwenye mgodi wa makaa ya mawe Ruanda liganga ikiwa ndio Mara yangu ya kwanza kufika huko tukiwa na msafala wa magari matatu tukipeleke mashine kwenye huo mgodi tukipitia njia ya kusini kwa wanao fahamu ile njia INA mambo mengi sana uchawi wizi ajali na vimbwanga kibao
Tukio lili tokea mchana kweupe kabisa ktk msafala wetu mm ndio niliye kuwa nyuma nikiwa na gari aina ya Noah ktk ni Volvo iliyobeba mashine yenyewe mbele ford Kuna kipende unapita pembeni pembezo ni mbuga ya ruaha ni njia yenye kona nyingi madereva wa dangote huangushaga magari ya sana pale ni sehemu tulivyo msitu down mabonde ya kutisha
Tukiwa tumefika maeneo hayo mida kama ya SAA 7 mchana tukiwe kwenye mwendo wetu speed 50 kushuka chini huwa tunatembea na radio call tunaweza kuwasiliana gari zote tatu nilisikia neno moja tu tumevamiwa ghalfa gari ya mbele yangu ikasimama nikasikia tena tutulie wanachotaka tuwepe nikaona watu wawili wakiifata gari yangu mmoja alikuwa na silaha akiniamlisha nishuke kwenye gari nikashuka sikuwa na uwonga sana coz nimatukio niliyo yazoea kutokana na kazi yangu jamaa walikuwa wanne wawili wa KIKE kwaiyo jumla 6 hawakuvaa kitu chochote cha kuziba sura wa sare walivya kawaida tu wale wadada walivaa pesi za jeans na t-shirts walituweka pembeni ya balabala ni kuanza kusema wanataka pesa lkn kama wakashauliana jambo ivi nikaona mmoja wao akienda toa magari balalani ni kuweka pembeni mm yangu nilizima na kutoa ufunguo

Note :sikuwa na uwonga ni matukio niliyo yazoea

Aliludi kuja chukua ufunguo alikuwa mwanamke nikampe bila ukorofi wowote akaliweka pembeni na ku lock magari yote
Nadhani waliogopa magari mengine yakija pita waone kama tumepark na kuingia porini kujisaidia
Nilichowaza kilikuwa sahihi watuamlisha tuingie porini kama mita 100 au 150. Si mbali sana ila MTU akiwa balabalani hawezi kuona wala we hauwezi kuona balabalani walikuwa wanataka pesa pesa tulisha kubaliana tuwepe pesa wasije tuondoke zetu mkuu wetu wa msafala ambaye anaendesha gari kubwa naye alikuwa mzoefu na ndio aliyetupa taalifa kwenye radio call akasema pesa zipo lkn kwenye gari
Basi nikaamlishwa mm ndio niende kwenye gari kubwa kuchukua hela uku nikiongozana na majambazi wawili mmoja wakike walificha silaha ili tukifika balabalani km Kuna gari/magari yanapita wasione kushutkia chochote kile

Note: balabala za mkoani magari yanakuwaga sio mengi unaweza kukua dakika 5/10. Bila gari kupita

Tulivyo fika kwenye gari chini akabaki Yule mwanaume juu nikapanda na mwanamke nikifika pesa zilipo na kuchukua nikamwambia yule mwanamke uzuri urembo wote huo jmn unakuwa JAMBAZI akunijibu kitu nikaongea tena ila umeumbika akujibu pia tukashuka uku nikiwa na pesa mkononi kufika kule tukawapa zile pesa yule Dada alikuwa akiniangalia sana sijui kwa maneno yangu au vipi jamaa wakaanza sema pesa ndogo sijui zingine zipo wapi zikaanza pulukushani zikaanza tembea ubapa za panga pale lkn ss tunaelewa kila kitu kuwa watatuacha na tutasepa zetu ikibidi mkuu wa masafala aniambie mikito kawepe zile zingine zote aliona mambo yanaweza kuwa mengi mkuu anawekega pesa sehemu mbali mbali kwenye gari lake ni Volvo kubwa zile kwa ajili ya usalama.... kwenye safari zetu pesa tena cash ni muhimu na Mimi najua anapoweka pesa sehemu zote ila sehm ya kwanza nilioenda kuchukua zilikuwa chache sehm kama tano alificha hela nikaenda tena kama mwanzo nikasindikizwa na binti yule yule na jamaa mmoja mm najua zile nazoenda chukua ni za mwisho japo zipo nyingine kufika kama kawaida nikitoa yule Dada aliambia sijui atafute tafute apekuwe pekuwa au shobo zake tu akaanza Ku search mule ndani ya gari uku na uku ..

Mm nikimshika tako nilifanya makusudi nikamwambia hakuna tena pesa lkn sikuachia lile tako nikaona MTU kaacha kutafuta akashusha ile pensi yake ya jeans mm nikaelewa huyu unataka nini akaniambia fasta basi ile sauti ya kuamlisha basi bilahiyana mm nikashusha nguo piga chakata tako za kutosha kama dakika 5 sijakujoa yule jamaa wa chini sijui alihisi kitu akauliza vipi uko yule demu akajibu subiri kidogo na tusi juu namalizia kutafuta haikufika mda nikakojoa tukavaa na kutoka nikiwa na pesa niliyofata Mara ya Pili kufika kule nikawapa wakatupa funguo zetu za magari wakachukua simu ni baadhi ya vitu vidogo kidogo na kutokomelea porini tukaludi na kuwasha gari na kusepa ..
Mpk Leo hata wezangu hawaamini nilivyo waambia ila ukweli naujua Mimi na Dada JAMBAZI
Asante Dada JAMBAZI


Sent using Jamii Forums mobile app

KakaJambazi dada yako kaliwa kimasihara huku!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom